Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Klabu ya Manchester United bado imeendelea kupata matokeo mabovu kwenye Ligi Kuu soka England baada ya jana kulazimishwa sare ya bila kufungana dhidi ya klabu ya Southampton.

Kwa matokeo hayo Manchester United ambayo ilikuwa nafasi ya pili kwa muda mrefu kwenye msimamo wa EPL imeshuka hadi nafasi ya tatu baada ya Chelsea jana kupata ushindi mnono.

Wakati hayo yakitokea Manchester United imepata janga lingine kubwa zaidi kwa kuumia mchezaji wao tegemezi, Paul Pogba jana kwenye mchezo huo.

Pia kupitia mtandao wa klabu hiyo umethibitisha kuwa mshambuliaji wao Zlatan Ibrahimović kuwa atakuwa nje ya uwanja kwa mwezi mmoja kuanzia jana

Matokeo hayo yanaifanya Manchester United kupata sare tatu mfululizo kwenye EPL na kupoteza mechi moja ya kombe la EFL.
 
Mtachonga sana nijuavyo mimi Man United iliahakufa muda mrefu aliondoka na mavazi yake babu.
Hii timu inapumua kwa mirija tu ambayo kwa sasa si kitu.

Mtu anafuga mbwa nyumbani kwake mkali kweli anaandika kibao mbwa mkali usipite hapa na kweli huyo mbwa inakuwa hatari kubwa.
Sasa mbwa kafa mwenye mbwa kasahau kutoa kibao cha mbwa mkali watu wamebaki kuogopa bango tu kumbe mbwa keshakufa.
Man United ilishakufa hakuna timu pale cha msingi timu isukwe upya.
Mtalia sana wambeya wamegundua kaburi alilozikwa mbwa wenu mwekundu hakuna kuogopa ni kipigo tu mpaka mnyooke mashetani nyie kalakabaho zenu

Nina raha kweli mie siku hizi majini yanasalimu amri hata bila maombi eeeeeeheeheee.
 
Man U timu kubwa ni nini kimetukuta.mbona tulianza vizuri.
Mtanyooka tu mlimsifia sana Lukaku then siku hizi mnadai ni mfanyakazi hewa sasa mtalijua jiji nyie mpira wa morinyo wa kuvizia vizia kama alivyomfunga wenger juzi ulishapitwa na wakati. Mpira kama huo unafaa kwenye ligi za mtoano siyo ligi ya kawaida.
Chelsea hawakuwa wehu kumtimua pimbi yule walishasoma nyakati.
 
Ndio maana huyu mtoto anaonekana kiwango kushuka , kumbe ndio mchezaji aliecheza mechi nyingi Barani ulaya kwa mwaka 2017.


Top 10 appearance-makers in 2017

1 – Marcus Rashford – Manchester United – 61 appearances

2 – Valere Germain – Monaco – 60 appearances

=2 – Paulo Dybala – Juventus – 58 appearances

=2 - Bernardo Silva – AS Monaco and Manchester City – 58 appearances

5 – Lionel Messi – Barcelona – 57 appearances

=5 – Gonzalo Higuain – Juventus – 57 appearances

=5 – Saul Niguez – Atletico Madrid – 57 appearances

=5 – Ivan Rakitic – Barcelona – 57 appearances

9 – Willian – Chelsea – 55 appearances

=9 – Leonardo Bonucci – AC Milan and Juventus – 54 appearances

=9 – Fabinho – AS Monaco – 54 appearances

=9 – Casemiro – Real Madrid – 54 appearances

=9 – Joao Moutinho – AS Monaco – 54 appearances
 
HAYA NDIO MAELEZO YA RYAN GIGGS AKIWAJIBU WANAOSEMA HANA UWEZO WA KUWA MANAGER WA MANCHESTER UNITED NA KUKOSA UZOEFU WA UKOCHA...


I don't have experience in the lower divisions. It's not where I've worked in my career," he said.

"I've spent my whole life in the Premier League - not just as a player but as a player-coach and assistant manager. I know now I wasn't ready when I had those four games in charge at United but I'm a lot better qualified to manage now after those two years with Louis. That was a fantastic experience."

Critics have since claimed that he should focus on working his way up the ladder instead of merely expecting to be handed the keys to an elite club, but Giggs has now issued a vigorous defence of his own CV.

"I did an interview last week about my managerial aspirations and received some criticism because apparently I wasn't willing to manage at a lower level," he told Sky Sports.



"I didn't say anything at all about not managing at a lower level; I said because of my experience, I'd be more suited coaching at the level which I previously played and coached.

"My critic quoted Steven Gerrard saying, in his experience, footballers want to just do their UEFA C Licence and go straight into the job. I did my UEFA B Licence when I was 29, my A Licence when I was 35, my Pro Licence while I was still playing and I coached at Manchester United for three years - including managing four games - so I don't see the relevance.

"The argument that players who have been a success can't go into success is a non-argument. People use Jose Mourinho and Arsene Wenger but there are also countless examples of unsuccessful players being unsuccessful managers. It is all down to the individual.

"I played until I was 40 so I was doing my Pro Licence on a Saturday and Sunday, training on a Monday and Tuesday, doing more coaching and then driving back for Champions League games on Wednesday. To say I haven't put in the work is ridiculous."

Giggs, who has also previously proclaimed his interest in managing Leicester City and Everton, is currently co-owner of Salford City.
 
Man United mmejitahidi sana...
Wakati mnatamba na. 4G

Kuna shabiki mmoja nilimueleza ...

Ikifika December 31...Man U itakuwa nje ya top 4.

Hongereni mme ni prove wrong
 
Ni muda wa mou kusepa...hivi mmeona post press conference yake alivokuwa anaongea upumbavu?....analialia kuhusu penalt,na kuwalaumu tu marefa,wakati mpira tuliocheza jana tulikuwa tunastahili kufungwa..
Mou hana point kabisa siku hizi sina haja yakusikiliza post press conference. Mtu unajua kabisa ataongelea nini...
 
Tetesi
RONALDO KURUDI MAN UNITED?

Manchester United wanafuatilia kwa karibu ripoti za tofauti baina ya Cristiano Ronaldo na viongozi wa Real Madrid, kimedai Mirror .
Magazeti yanasema kuwa uhusiano baina ya Ronaldo na Florentino Perez umevunjika, jambo linaloleta shaka juu ya mustakabali wake Bernabeu.
Na United wanaweza kupata fursa ya kumrejesha mchezaji waliamjenga wenyewe ikiwa atakataa kubaki Hispania.

Imedaiwa kuwa Ronaldo amekuwa akifanya safari za siri kwenda Uingereza na kuangalia shule binafsi kwa ajili ya kijana wake wiki za hivi karibuni.
Hua sipendi hizi taarifa, na sijui kwann kila ikifika kipindi cha usajili hizi taarifa zinaletwa, ni upuuzi ambao sipendi kabisa kuusikia
 
26047146_1367043463442529_7549214366473992860_n.jpg
 
Back
Top Bottom