Akijitafakari ndyo mtaacha ku draw?Niliwahi kuandika humu na ninaandika tena; kiwango cha Jose mourinho hapo ndio mwisho , hana ufundi. Tactics zake zipo outdated na hakuna la ziada tunapaswa kutarajia.
Ni muda wa kocha kujitafakari Mara 2
alianza vipi wakati mou huu ni msimu wake wapiliHata van GA alianza hvo hvo
Mimi sioni tatizo la wachezaji hapa lazima kuna kitu mbona ligi ilivyoanza timu ilikua inacheza vizuri sana?? Matokeo safi kabisa sasa hivi tatizo nini??
Timu haibadiliki kiuchezaji inamaana soton wana wachezaji bora kuliko man u? Hapana!!! Tatizo nini KOCHA..............
Ukisema mou hawezi kufundisha mpira wa kisasa,wanakupinga,wanasema hatuna wachezaji...Kumbe uliliona hilo tegemezi wake alikua big fella sasa hayupo. Timu inashindwa kucheza hata pasi 5 murua mbele pale yani dah.
Tukubali tu Mou kufundisha mpira wa ufundi hawezi na ndo sababu ya wachezaji wengi viwango kushuka kila siku.
Kweli chief watu wakushambulia wote anataka wakabe...Mkuu im very sorry for You...
Pole sana Mkuu
Tumwombe Mungu tusitoke hata hapo ndani ya 4.
Ila ukweli usemwe,, Timu imemzid Mkufunzi...
Hatuna wachezaji wa kuendana ma falsafa yake
Inter alikua na kna Zennet,, Lucio,, Chivu,, Maicon,, nw
Chelsea part One walkuepo kna Makelele,, Essien,, Cole,, JT, nw
Madrid alianza huo upuuzi akachemka akaishia kuwafanya wawaone Barcelona maadui wao katika sayari hii ya tatu... Ili hali mpira unapigwa peupe
Martial unataka awe mkabaji?? Mkhi kweli utauona ubora wake ili hali mda !mwingi kaambia akumbuke kukaba??
Tutawalaumu sana wachezaji but mbinu za Mwalim nazo mhhhhh!!!
Kama sio Matic,, Kama sio David Mwakamwa 2018 mwanzoni Kabisa Josee asngekua Mkufunzi wa Manchester United..
Nilichokibaini ni kuwa Josee kajitaidi sana kuijenga timu na ni moja ya ndoto zake viatabu vya kumbukumbu vya soka kumwandika kama moja ya makocha waliowahi kufanya vizuri akiwa Manchester United..
Ila,,,
Manchester United ni kubwa kulko Josee tuwe wakweli!!
Let say akapewa Hyo Bale,, au Perisic,, Griez au Dyabala ni kweli atatoka hapo??? Mkhi kashindwa kumtu!ia,, Mata as well ije kuwa Ozil tunaemjua???
Mbinu zake zmepitwa na wakati na wachezaji wa mbinu zile hawapo tena,,.. Walau unapaki Bas upo na tmu hatar,, sio Leicester Walio pungufu tena kiungo....
Utd Forever
Ataweza kuzuia mda wote ? Kama hawezi bc ajue hana nambaTetesi
RONALDO KURUDI MAN UNITED?
Manchester United wanafuatilia kwa karibu ripoti za tofauti baina ya Cristiano Ronaldo na viongozi wa Real Madrid, kimedai Mirror .
Magazeti yanasema kuwa uhusiano baina ya Ronaldo na Florentino Perez umevunjika, jambo linaloleta shaka juu ya mustakabali wake Bernabeu.
Na United wanaweza kupata fursa ya kumrejesha mchezaji waliamjenga wenyewe ikiwa atakataa kubaki Hispania.
Imedaiwa kuwa Ronaldo amekuwa akifanya safari za siri kwenda Uingereza na kuangalia shule binafsi kwa ajili ya kijana wake wiki za hivi karibuni.
Tangu Web astaafu EPL man u ni maboya tu na mnazidi kurudi kwe nafasi yenu mlozoea