↑↑ Kwanza Kabisa Jifunze Kucomment Kwa Kuelewa Je hapa tunajadili Nini??
→→ Pili, Hebu elewa Kama unapuuzwa! Mimi Wewe SikuQuote na Niliwahi Kukwambia Kabla Hujapigwa Ban hapo awali Kuwa USINIQUOTE!!! Kwahiyo narejea Tena Kukwambia TAFADHALI UNAPOKUTA POST YANGU USINIQUOTE...
"DO NOT QUOTE ME"
Mimi Naquotiwa na Watu Wanaojielewa Nini Wanazungumza Sio na Watu Kama Wewe! Please stay away from me! Sina Cha Kujadiliana na Wewe..!!!!
↓↓ Tatu, Jifunze Ustaarabu Katika Threads za Watu.
"You must behave yourself"