Kuna Watu Wanafurahisha Kweli!!! Eti timu apewe Giggs!!!! Hivi Watu Wanazani Zidane Kaibuka tu pale Kuwa Kocha Wa Real Madrid???
Zidane Alianza timu ya Vijana Kwa Miaka Kadhaa Mpaka Kapata Uzoefu ndiyo akakabidhiwa Senior Team.
The Same Kwa Steven Gerrard sasahivi Si Mjinga Kukubali Kufundisha Watoto Wa Shule (Academy) Kwa Sababu Kashatega Baadae Awe Full experience..
Kuvamia Ukocha Bila Ya Experience Kamuulizeni Garry Neville au Maradona kimewakuta Nini??
Waingereza si Wajinga Kiasi Hicho Wawape Timu Giggs, Lampard na Gerrard Timu Zao kwa Sababu eti Wamezichezea sana kwahiyo Wanazifahamu.
Kuna Makocha wenye CV kubwa wamepitia Liverpool tangu Benitez alipoondoka ila hawajafanya lolote licha ya kuwa na CV nzuri kwenye football career zao..
David Moyes alikuwa na record nzuri kwenye ligi ya uingereza. Miaka kibao akiwa na Everton hajawahi kucheza nje ya top 100. Tukidhani tukimpatia team yenye bajeti kubwa tutafika mbali mwisho wa siku tukaishia katikati ya msimamo wa ligi.
Van Gal pia amebeba UEFA na Bayern, aliiongoza Timu ya taifa ya uholanzi kucheza fainal ya kombe la dunia pale Brazil (2014). Na record lukuki. Ila tuliona alivyoshindwa kuisogeza team kocha la Kufanya sajili za wakina Do Maria, Damian, Falcao n.k
Unamfahamu Mike Phelan????? Huyu alikuwa assistant na First team Coach wa Manchester united kwa vipindi tofauti kuanzia mwaka 1999 mpaka siku mwalimu sir Alex Ferguson anastaafu, ila aliishusha Daraja Fulham na akatimuliwa pia Norwich city mwaka 2015. Namaanisha si kila kocha aliepitia kuwa