Acha niseme kidogo.......wengi mnamtupia lawama kocha wetu mpaki basi maarufu mjini manchester lakini mimi kama mshabiki wa manchester united naona tatizo lipo kwa wachezaji sana kuliko kocha. Wachezaji wapo wapo tu hawajitumi yaani kifupi kama giggs alivyosema jana kama sio juzi timu hii wachezaji hawana morale ya ushindi ile damu ya kucheza kufa na kupona ukivaa jezi yenye nembo ya manchester united vijana wetu wa sasa pale hawana kabisa na kama wapo wakuhesabika sana, damu ya manchester ni ipi? Waliongalia na wanaongaliaga mechi za everton atakubaliana nami Keane anacheza mpira wa damu damu yaani ana roho bado ya ki- OT kabisaa. Wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani ndo maana hata mbinu mbadala za kocha huwezi kuona zikifanikiwa maana viwango duni sana tena sana. Kocha nae anamapungufu yake hilo liko wazi sana na mfumo wake wa kutoa mataili ya skania wakati safari bado ndefu tena unaeshindana nae kala umeme. NITAENDELEA KUSHABIKIA MANCHESTER MPAKA KIELEWEKE NA MOYO UNANAMBIA KABISA KWAPA MOJA LAZIMA MSIMU HUU PASI NA SHAKA
NB: TUWE NA SUBIRA
#GGMU#
1. Wachezaji wenyewe
2. Kocha
3. Mashabiki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna rashford kuna lingard. Watoto kilasiku hawapati game maturity
Lingard ni mzuri kwa counters. But tukiwa tuna posses hawez kucheza.
Lingard alitakiwa acheze swansea huko.
Is an average player.
Naangalia goli alilokosa Martial na lile aliloshinda raheem sterling,kweli wachezaji wetu hawapo makini katika umaliziaji.1. Wachezaji wenyewe
2. Kocha
3. Mashabiki
Shaw ni fullback kushoto Lindelof ni CB au fullback kulia,Shaw anapigwa benchi na YoungKocha leo kaingia chaka hilo halikwepek huyu lindelof kamzid nn shaw? Leo nlikiwa namfuatilia yy tu achana na matokeo sijaona hata pasi moja aliyopiga ikamfikia mlengwa kwa usahihi
Huyu shaw mpeleke kwa guadiola uone shughuli yake.
Mata ana haki ya kumpoteza mkhitaryan halina ubishi.
Tatizo mou nae kiburi sana na mtindo wake wa kulaumu wachezaji ndo ugomvi utaanza ila naona kama ameishiwa pumzi mou kabisa timu imekuwa kubwa kushinda uwezo wake na nikipiga chapuo haraka haraka sijaona mtu wa kuitoa timu ilipo kwa sasa labda tuamue kumuunga mkono giggs awe kocha tumpe mudaGood.
Kwa matokeo ya Leo kukosa morali kama sababu mojawapo, unadhani nani anapaswa kuweka morali kwa wachezaji?????
Kocha anatumia muda mwingi na wachezaji kuzidi wewe shabiki , Morali inaanzia huko. Shabiki Morali yake ni kwenye mechi. Lakini Before and after game Mwenye jukumu ni kocha ( Kubali kataa
Kuna muda young huwa anamchezesha mbili anacheza vizir tu akicheza kule lindelof na darmain bas hamna mashambuliz kupandisha mbeleShaw ni fullback kushoto Lindelof ni CB au fullback kulia,Shaw anapigwa benchi na Young
Kabisa ndo maana nasema hata kama mourinho ni chanzo ila wachezaji wamekua na shida sana hivi rashford kulikua na umuhimu gani wa kumla chenga golikipa mwisho mpira unatoka pale ni kuchopu tu yani hapa morale imenipanda natamani scout wa timu wanishushe OT nikawaoneshe roho halisi ya mashetani wekundu wanatupa shida sana vijanaNaangalia goli alilokosa Martial na lile aliloshinda raheem sterling,kweli wachezaji wetu hawapo makini katika umaliziaji.
[emoji16][emoji16][emoji16]Pia mashabiki wenzangu nawapa angalizo kila pogba akipewaa u captain lazima kuna tatizo tunachezea au kaumia yeye leo nlipomuona kapewa kitambaa nkajia togwa lishaingia inzi
Pale kuna smalling,de gea,jones na hata young kidogo heshima iwepo sawa pogba kakulia pale aliondoka kwa muda ila si mwenyeji kama hao hapo juu wachezaj wanastahili heshima pia.
Tatizo mou nae kiburi sana na mtindo wake wa kulaumu wachezaji ndo ugomvi utaanza ila naona kama ameishiwa pumzi mou kabisa timu imekuwa kubwa kushinda uwezo wake na nikipiga chapuo haraka haraka sijaona mtu wa kuitoa timu ilipo kwa sasa labda tuamue kumuunga mkono giggs awe kocha tumpe muda
Nick butt labdaMi nlikuwa nampenda sna kocha wa sasa wa buyern
Giggs hata under 17 hajawah kufundisha si vichapo tu vitashuka bora hata nick butt au scholes kila siku wanahangaika na madogo kule mwenzie zizou na wakina pep walianzia chini kule yy anakimbilia sky sport tu
Young ndio first choice left back wa Mourinho msimu huu,mechi zipi amepangwa RB ?Kuna muda young huwa anamchezesha mbili anacheza vizir tu akicheza kule lindelof na darmain bas hamna mashambuliz kupandisha mbele
Mi nlikuwa nampenda sna kocha wa sasa wa buyern
Giggs hata under 17 hajawah kufundisha si vichapo tu vitashuka bora hata nick butt au scholes kila siku wanahangaika na madogo kule mwenzie zizou na wakina pep walianzia chini kule yy anakimbilia sky sport tu
Kwahiyo Mourinho aingie uwanjani kumsaidia rashford kufunga au?Nani anapaswa kuwafanya wachezaji wacheze kwa morali ???? Acheni kumkimbiza Mwalimu kwenye allegations zake....
Mourinho ni Kanjanja anapokutana na upstair coaches, kwa mbinu zake sioni kama atampiku Guardiola.... Haiwezekani Uko mbele 2-1 na advantage ya red card unashindwa kumaliza game.
Tatizo la Manchester United Ni kocha Kubali kataa
Young ndio first choice left back wa Mourinho msimu huu,mechi zipi amepangwa RB ?
Lindelof leo ndio mara ya kwanza amechezeshwa kama RB tangu asajiliwe United.Game nyingi Lindelof alizocheza mfumo uliotumika ni 3CB anacheza upande wa kushoto
Weee alishinda sijui mbili au tatu kipigo na suluhualiwahi kuwa kocha wa muda utd na bench la class of 92,aliambulia point kwa mechi nyingi zilizobaki