Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Hakuna short cut toward success.mou ni kibaka kama klop na wenger
wanapenda kubahatisha sana sio wahamasishaji
nakumbuka SAF ikifika muda flani akisimama halafu akiangalia saa yake na kuonyeshea ishara wachezaji mbona ilikuwa burudani
mou muda wote yupo yupo tu mtu unawaza mbona hatoi ukali na hamasa kwa wachezaji au na yeye ana beti?
Huyo kocha hapa kaniacha hoi sana daaaaa herrera wa nn wakat unashambulia???Mou ameamua kuzuia tu pamoja na kwamba leceister ni pungufu
Ni mechi ngapi umeshinda goli tano msimu huu, au unadhani hayo ni maandazi.Game ilikuwa ya kushinda goli 5 hili goli la pili lisingekuwa tatizo
Huwezi kumlaumu kocha hii game Martial,Lingard,Rashford wamekosa magoli ya wazi.Lini umeona City wanakosa nafasi kama hizi?
Huyo kocha hapa kaniacha hoi sana daaaaa herrera wa nn wakat unashambulia???
Na wataendelea kuwa bora hadi waache kuchezaSishangai messi na ronaldo kua wachezaji hatari.sana wakiwa mbele ya goli na wachezaj bora wa dunia
Hivi hii timu huwaga wanaenda training kweli?? Tangu nimekua shabiki wa united sijawahi kuacha mechi na filimbi haijapiga Ila leo nimetoka dah... Nimetukana njia nzima hapa naogopa ban tu ila nina hasira sana...
Shaw nacho kimeo tuu kile. Tangu alipoumia hajakaa sawa hadi leoSijui kwa nn hachezi shaw mechi za kipuuzi kama hizi
Huyu ndio takataka kabisa..hajawahi kucheza tukashinda.Mikhy is BACK
Nlisema hilo kuna mdau akaniulza naangalia mechi ipi...mapenzi ni upofu.Huyo kocha hapa kaniacha hoi sana daaaaa herrera wa nn wakat unashambulia???
Kwelo mkuu we wachezaji wanashambulia alf unatoa mshambuliaji unaingiza mkabaji? Unatuma meseji gani kwa waliobakia uwanjani?Ni mechi ngapi umeshinda goli tano msimu huu, au unadhani hayo ni maandazi.
Acheni mpira na matokeo ya mdomoni huo ndio uwezo Wetu ....
Utakuwa ni football elite Wa kwanza duniani kutrnganisha performance ya team na uwezo Wa kocha.....
Amini nakwambia Mourinho Poor tactics ndio Adui namba moja Wa Manchester kufanya vibaya msimu huu... Kacheki Game ya uefa tuliyofungwa, team inapack basi mno.
Njoo kwenye game ya Bristol city same tactics.
Bado hatujapata coach Mwenye kuingia kwenye DNA ya Manchester united...
Kwanini glazer asiandike ujumbe kama ule wa Mo dewj
Na nafikiri wakiangaliaaga mechi hizi hua wanaishia kucheka tu..mxieeew!!Na wataendelea kuwa bora hadi waache kucheza
Your 100% correctly.Ni mechi ngapi umeshinda goli tano msimu huu, au unadhani hayo ni maandazi.
Acheni mpira na matokeo ya mdomoni huo ndio uwezo Wetu ....
Utakuwa ni football elite Wa kwanza duniani kutrnganisha performance ya team na uwezo Wa kocha.....
Amini nakwambia Mourinho Poor tactics ndio Adui namba moja Wa Manchester kufanya vibaya msimu huu... Kacheki Game ya uefa tuliyofungwa, team inapack basi mno.
Njoo kwenye game ya Bristol city same tactics.
Bado hatujapata coach Mwenye kuingia kwenye DNA ya Manchester united...
Alipomtoa Lingard (striker) na kumwingiza Herrera (mid fielder) nikajua tu ameamua kulinda kagoli pamoja. INA kamerudi sasa.
Nafiri Mourinho aache wachezaji wawili hadi wanne wacheze free, wanaobaki ndiyo awapangie majukumu. Vinginevyo, confidence ya wachezaji inazidi kushuka.
2 points Droped....13 points to CHASE NOW