Manchester United (Red Devils) | Special Thread

teh! teh! mou tuachie timu yetu wachezaji hawako creative kabisa






nitaendelea kumpinga huyu jamaa its better atuachie timu
10 mens still wanarudisha goal hakuna ubunifu wowote


usiku mwema wapendwa
Hapana mkuu. Leo timu ilikuwa very creative but wasteful. Wachezaji wenyewe wamekosa nafasi kibao za kumaliza hii mechi.
Mou namlaumu kumwacha Smalling uwanjano wakati imebaki dakika moja, na goli limetoka kwa Smalling
 
Leo namlaumu Jose, poor tactics. Mna one man advantage, halafu unaacha timu iliyo pungufu ikae na mpira!!
Wachezaji wanapokosa magoli ya wazi kama yale kocha anatakiwa afanye nini ?
 
Huwezi kumlaumu kocha hii game Martial,Lingard,Rashford wamekosa magoli ya wazi.Lini umeona City wanakosa nafasi kama hizi?
Mourinyo anastahili kulaumiwa bwana. Goli limetokana na staili yetu ya kukaba.

Tulikuwa kama tupepaki basi flani hivi.
 
hakuna team play kila mtu anacheza individually hasa pale mbele. inaboa sana
 
Nimetaka nitukane lakini bas tu, mwisho wa siku wao hawajui mashabiki na wapenzi wanaumiaje ila wao hawana shida maana mwisho wa wiki mamilioni yanaingia
 
Alipomtoa Lingard (striker) na kumwingiza Herrera (mid fielder) nikajua tu ameamua kulinda kagoli pamoja. INA kamerudi sasa.

Nafiri Mourinho aache wachezaji wawili hadi wanne wacheze free, wanaobaki ndiyo awapangie majukumu. Vinginevyo, confidence ya wachezaji inazidi kushuka.
 
Mourinyo anastahili kulaumiwa bwana. Goli limetokana na staili yetu ya kukaba.

Tulikuwa kama tupepaki basi flani hivi.
Game ilikuwa ya kushinda goli 5 hili goli la pili lisingekuwa tatizo
 
mou ni kibaka kama klop na wenger

wanapenda kubahatisha sana sio wahamasishaji
nakumbuka SAF ikifika muda flani akisimama halafu akiangalia saa yake na kuonyeshea ishara wachezaji mbona ilikuwa burudani
mou muda wote yupo yupo tu mtu unawaza mbona hatoi ukali na hamasa kwa wachezaji au na yeye ana beti?
 
Hebu tumuweke Mou pembeni, tuangalie magoli waliyokosa wachezaji wenyewe maanake Mou hawezi kuingia uwanjani kufunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…