Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

You cant win Ballon D'or for just scoring against FC Bournemouth and the likes....!
Ok, i get ur point man
618efa562b927a3529699342cebee865.jpg

50d8e2221001ce3737d2d450288ee153.jpg
 
No...u definately didnt get the point. Use your bundle, search Ballon D'or Winners and learn what they achieved before winning that coveted gong!

sijui tunakuwaga na mihemko au kujaribu top scorer wa epl akabebe ballon d'or basi neymar hakutakiwa hata kushika nafas ya 3 hakufunga goli nyingi za ligi kumshinda harry kane.
 
You cant win Ballon D'or for just scoring against FC Bournemouth and the likes....!

Mo Salah Bado Sana Hata Hata Kuingia 3 bora ya Ballon D'or No doubt!
Lakini Hii Kuscore Against FC Bournemouth and the likes?
Really?

IMG_20171218_121657.jpg

IMG_20171218_121611.jpg
 
Hivi kweli kipa anaokoa magoli ya wazi 7, 8, hadi 10 halafu unaishia kusema hii haimaanishi tuna beki mbovu bali tuna kipa mzuri! Hainiingii akilini.

why not?unaweza kupigwa hata goli 3 na bado beki yako ikawa ilikuwa iko vizuri tu!!unakumbuka magoli ya mbali ya Paul Scholes au faulo alizokuwa anapiga Juninho Penambucanho faulo ambazo hata timu nzima mkiweka ukuta mpira ataupitisha tu!!Sasa magoli ya hao watu kama ulipata kuyaona utalaumu udhaifu wa beki yoyote??
 
naomba niulize kwa wadau mnaojua kufukunyua rekodi,msimu uliopita wakati kama huu aliyekuwa anaongoza alikuwa na points ngapi ukifananisha na ambazo sisi Man United tulizonazo msimu huu?misimu ambayo Man united tulichukua ubingwa wakati kama huu tulikuwa tumepata points kama hizi??Hisia zangu zinaniambia timu inafanya vizuri isipokuwa tunafunikwa na kiwango cha juu sana alichonacho City ila kwa wastani na rekodi za EPL tunafanya vizuri sana!!Mzimu tunaokabiliana nao sasa na kama ule ule aliokuwa Mourinho anakabiliana nao alipokuwa Madrid dhidi ya Barcelona!Madrid alikuwa anakuwa mshindi wa pili akiwa na points nyingi sana kuliko mabingwa wa nchi nyingine za Ulaya
 
Mc Tilly Chizenga msimamo wa EPL round of 18 msimu uliopita ni huu ufuatao

View attachment 653574

Na ufuatao ni msimamo wa round of 18 msimu huu.

View attachment 653575

asante kiongozi,hapo utaona Man United inafanya vyema zaidi kuliko Mwaka jana,kwa point hizi 41 msimu jana tungekuwa tumepitwa na anayeongoza ligi kwa point 5 tu ukilinganisha na sasa 11,na msimu juzi tungekuwa tunamuongoza leicester aliyekuwa na point 38!Hoja yangu kuwa timu inafanya vizuri sana kwa rekodi za epl isipokuwa ni elite status aliyonayo Man City this time around ndio inatusumbua inasapotiwa na data hizi.
 
EPL huwa ina maeneo yake ya timu iliyoko kileleni kuanguka

December-wakati wa mechi nyingi,hili inaonekana City kalipita tayari ama kashafaulu kwa asilimia nyingi

Xmas na Mwaka Mpya-hapa pana mtego mbaya sana wa timu kupoteza points,wachezaji wanawaza sana kuwa na familia zao kipindi hiki lakini kunakuwa na game ngumu katika tofauti ya muda mfupi tu

January-Machi wakati ambapo wachezaji wanapata ile kitu inaitwa fatique baada ya kuwa wametumika ipasavyo sehemu kubwa ya msimu...hapa ndio utaona watu kama De bruyne hawachezi tena kiwango chao mpaka wapate refreshment

May yenyewe ambapo timu nzuri zinakuwa na mashindano mengi magumu wakiwa karibu kuchukua ubingwa yaani hatua za juu zaidi.

City akipita majaribu hayo ndio atabeba kombe la EPL

Vinginevyo nashauri tujikite katika kuwaza timu yetu na sio kuangalia City anafanya nini
 
Back
Top Bottom