Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naomba nipe mfano wa quality teams tulizocheza nazo zikatengeneza nafasi nyingi na idadi. Mfano Man city,Chelsea,Tottenham na Arsenal.

Arsenal watu wengi wanazungumzia nafasi 33 lakini kiutaalam Arsenal walitengeneza CLEAR CHANCES NNE TU, moja ikazaa goli tatu De Gea being De Gea the rest were shots u expect a decent keeper to save.

NDUGU HAPO KWENYE KEEPER'S SAVE MI NDO NIMECHUKULIA UDHAIFU WA MABEKI UNAONEKANA, SIJUI MWENZANGU UNAONAJE.
 
Attachments

  • Screenshot_20171217-185215.png
    Screenshot_20171217-185215.png
    11.2 KB · Views: 30
  • Screenshot_20171217-185215.png
    Screenshot_20171217-185215.png
    11.2 KB · Views: 24
  • Screenshot_20171217-185029.png
    Screenshot_20171217-185029.png
    11.7 KB · Views: 26
  • Screenshot_20171217-184950.png
    Screenshot_20171217-184950.png
    15.6 KB · Views: 25
  • Screenshot_20171217-184844.png
    Screenshot_20171217-184844.png
    15.2 KB · Views: 28
  • Screenshot_20171217-184625.png
    Screenshot_20171217-184625.png
    11.8 KB · Views: 31
Naomba nipe mfano wa quality teams tulizocheza nazo zikatengeneza nafasi nyingi na idadi. Mfano Man city,Chelsea,Tottenham na Arsenal.

Arsenal watu wengi wanazungumzia nafasi 33 lakini kiutaalam Arsenal walitengeneza CLEAR CHANCES NNE TU, moja ikazaa goli tatu De Gea being De Gea the rest were shots u expect a decent keeper to save.
Ya liver hyo
 
Attachments

  • Screenshot_20171217-184625.png
    Screenshot_20171217-184625.png
    11.8 KB · Views: 26
NDUGU HAPO KWENYE KEEPER'S SAVE MI NDO NIMECHUKULIA UDHAIFU WA MABEKI UNAONEKANA, SIJUI MWENZANGU UNAONAJE.
No hio inaonesha una keeper mzuri. Nikupe mfsno mechi yetu na Arsenal wametengeneza 4 CLEAR CHANCES na sisi 4.....sisi tatu zimeingia,moja imegonga mwamba. Za kwao De Gea kafanya kazi yake ila wao kipa hana kiwango cha De Gea. Hamna beki isokuwa breached.
Kipa wa Man City alitunyima goli la kusawwzisha kaokoa shot ya Lukaku na point blank rebound ya Mata, angekuwa kipa mbovu yule leo tungekuwa tunaongelea tofauti ya 8pts badala ya 11.
 
Huyu jamaa anashangaza! Yes, ni vizuri kuwa na mawazo tofauti, ila kama hayuko well informed. Anasahau José ame-tie longest unbeaten record at OT! Ni Shitty ndiyo wamezuia José kuweka rekodi mpya.
Toka aje mourinho kwa sasa mi mpira naangalia bila wasiwasi had muda huu tunarekod nzur sana na bado anaendelea kuitengeneza timu tunasahau namna timu yetu ilivyokuwa
 
Back
Top Bottom