Ndo nini sasa
lukaku the best assist🙂🙂
Anaesema kuw City kafungia bahati simuelewi kabisa. Ulitaka ufungwej ndo ukubali kuw ujafungiw bahati?
Mtazamo wako. Maoni yako. Mawazo yako. Vyote haki yako. Mim shabiki wa City na sijawahi hama team yoyote EPL.Ukawa mpo wengi ila kwa woga wenu mnakuja hadi myapate matokeo mnabadili na avetor kipind mnapokea vipogo vya wakina everton wala hamkuwepo
MASHABIK MATOKEO NYIE wengine mnafungua account mpya kuja kivingine baada ya matimu yenu kupoteza uelekeo city tz na africa kawapata wapi mashabiki?
Mtazamo wako. Maoni yako. Mawazo yako. Vyote haki yako. Mim shabiki wa City na sijawahi hama team yoyote EPL.
Asante mkuu!! Siwezi kukutukana hata siku moja. Naheshimu mawazo ya wengine. Sidhani kama itatokea nimtukane mtu kisa match inayochezwa ulaya.Et mshabik wa citynakutania mkuu karibu sana mpira ni utani, furaha na dhihaka ila tusitukanane tu karibu sana tuko pamoja
Halaf hili jukwa la manchester la epl au ? Fungua na lakwako la man u la uefa umekula luku...Tumia akili hapa tunajadili epl usiwe unaruka ruka kama ndege
Shida ni Moja naona kama watu wanamchukia Jose kwa sababu zao binafs especialy kwa ile hulka yake ya Ujeur ila most of the time anaangalia matokeo na mafanikio yake,G Neville: "I've only read reports about LvG's quotes on United's style but my personal view is that the football under Jose is going in a better direction. Also, in terms of results, JM has won a European trophy & has the team second in the league, so he's also more successful."
Inaonekana hata humjui Mourinho
Zile Tatu za Man utd zimekuchanganya, povu liko wap sasa?Povu la kusuuzwa hilo
Jose hajabadilika bado anacheza mfumo uleule tangu aanze kufundisha soka nashangaa unasema Mourinho wa Chelsea ni tofauti na huyu wa sasaInawezekana kweli simjui Mourinho. Kwani si ndio yule alooneshwa kwenye CNN anamfunga kitanzi Saddam?
hzi kelele za kutaka Man utd wacheze kama Man city zitabakia siku zote ila ni kitu ambacho hakitakuja kutokea kama hii team itabakia china ya Jose