The good thing hatukulazimishwa kufanya hayo makosa, wakati Man city walitakiwa kutulazimisha kufanya hayo makosa.Umeongea kama mpagani mkuu suala hapo ni mmelazimishwa kufanya makosa abayo beki zilikuwa zinajisahau alfu lukaku ndyo anabeba duty ya ku clear
usishangae liva kufungwa na porto na kutolewa hapo
Mourinho wa Chelsea alikuwa anacheza tofauti na sasa ?Tatizo ni Mourinho kukubali kuwa hamuwezi Guardiola. Baada ya kurudisha lile goli, nafikiri alipokuwa dressing room amewaambia a point is enough. Sasa hili ndio tatizo la Mourinho. Haja exploit weakness ya man city, tizama jinsi tulivorudisha goli, it shows that City pamoja na passing game yao, if you put pressure on them, wanaanza kuhangaika.
Najiuliza kila siku, yule Mourinho wa Chelsea enzi zile amepotea wapi? huyu wa sasa amepatwa na mtihani gani mpaka anakosa confidence, na kuwakosesha confidence wachezaji?
akikujibu nishtueMourinho wa Chelsea alikuwa anacheza tofauti na sasa ?
Kwani Mourinho aloitambulisha Chelsea kwenye ubingwa EPL we unamuona ni sawa na huyu wa saivi?Mourinho wa Chelsea alikuwa anacheza tofauti na sasa ?
Lakini c alifungwa !!Tumia akili hapa tunajadili epl usiwe unaruka ruka kama ndege
Kila mstari ulioandika ni kama umenisikiliza nikiongea na shabiki mwenzangu wa utd hapa! its very true, hapakuwa na tishio lolote kwetu kujihami kiasi kile, mwalimu ametufanya kuamin kwamba city ni threat and so tutafte point 1 na matokeo yake tumepotezaThe good thing hatukulazimishwa kufanya hayo makosa, wakati Man city walitakiwa kutulazimisha kufanya hayo makosa.
Makosa tumefanya wenyewe kwa kuwapa too much space. Wala Man city hawakutegemea such errors to be made. ndio maana tunaona ni magoli ya bahati.Nielewe vizuri, goli ni goli tu, hata maradona alifunga goli la mkono likahesabiwa. sisemi kama mechi ni 1 bila, man utd imefungwa na imepoteza point. Na kuwa tulikuwa na uwezo wa kuwatwanga, ila Mourn yeye amechagua kutoka na droo tu, matokeo yake katufungisha. Point yangu kuu hapa ni kuwa Man utd tumejipindua wenyewe and not Man city
Kile kikosi kina wachezaji wanaotisha ila kimefungwa na mwalimu kwa mpira wake wa kujilinda anapocheza na timu kubwaTatizo wengi hatutaki kukubali udhaifu wa timu yetu hili lipo wazi kikosi chetu hakitishi bhana. Anaebisha abishe tu Tokwe povu ni kawaida ya ushabiki kutetea timu yake.
Approach yetu kwenye game ilikuwa too negative. Halafu Mourninho sijamuelewa mentality yake, it seems United is too big for him. Eti anakwenda kuwaambia wachezaji wa Man city wapunguze shangwe la kusherekea, yaani nimefurahi sana alivomwagiwa maziwa, na bora wangemfanyia inda wachezaji wote wakamwagia maziwa na maji. Badala ya kwenda chumba cha wachezaji wake na kuwaambia kuwa "mnasikia jamaa wanavotuekea makelele kwa kutufunga uwanjani kwetu?" anajitia kiherehere kujipeleka kwa man city.Kila mstari ulioandika ni kama umenisikiliza nikiongea na shabiki mwenzangu wa utd hapa! its very true, hapakuwa na tishio lolote kwetu kujihami kiasi kile, mwalimu ametufanya kuamin kwamba city ni threat and so tutafte point 1 na matokeo yake tumepoteza
Povu la kusuuzwa hiloNaona umefurahi, nafikiri ungesoma vizuri hio comment ungejua nini nimemaanisha kuliko kujichekesha chekesha
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Ww ulizuiwa kufunga ya ivyo?
Ndo nini sasaNyota wa Manchester United, Romelu Lukaku na mwenzake wa Manchester City, Vincent Kompany ambao ni raia wa Belgium, hawakausita kusalimiana licha ya timu zao kufanyiana ubabe uwanjani.
Mechi hiyo iliisha kwa Manchester City kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya kikosi cha Jose Mourinho, lakini matokeo ya uwanjani hayakuwa kikwao kwa mastaa hao kupeana mikono.
Licha ya Mourinho kuonekana akilalamika kwenye mchezo huo kutokana na kutoridhisha na maamuzi uwanjani, lakini Lukaku hakuonyesha tofauti yoyote kwa mchezaji mwenzake wa Belgium, Kompany baada ya mpira kumalizika.
Inaonekana hata humjui MourinhoKwani Mourinho aloitambulisha Chelsea kwenye ubingwa EPL we unamuona ni sawa na huyu wa saivi?
Unataka kunambia kuwa huyu Mourn unamuona sawa na yule alomtengeza Drogba? mmmhhh