Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,154
- 14,114
usishangae liva kufungwa na porto na kutolewa hapoporto vs liver pool
basel vs man city
juve vs spurs
chelsea vs barca
Haya ni maoni yangu, hayo uliyasema mimi sijawahi kuyasema. Hivyo, kama unalenga kujadiliana nami, usinijumuishe kwenye fungu ambalo simo.
Ninachomaanisha ni kwamba, kibinadamu, City hawawezi kucheza kwa kasi hiyo kwa mashindano yote. Wakifanya hivyo, watajiwekea mazingira ya fatigue, injuries, suspensions etc. Kumbuka anashiriki kwenye EPL, UCL, FA na League Cup! It’s doable, lakini to be honest sioni City wakifanya hivyo. Defense ya City siyo nzuri sana; leo United iliangushwa na kukosa mtu wa kupeleka mashambulizi mbele.
Anyways, tuombe uzima tu, ifikapo May, tuone nani yupo sahihi.
Hapa naamini ni bahati kubwa mno angalia vigoli vyao vya hovyo hovyo tu umemgonga lukaku mara li bek limekutana nao jana niameamini bahat ipo mpirani hamna cha mipango bado sijaona best team ila ni bahat tu hata ile pressing ya kawaida mno sio kama ya liverpool wanaojua mpira wataelewa hili
Acha uboya kacheze ww huo ndo mpira kubaliana na matokeo.Guyz Tukubali tu Gardiolla alituzidi maarifa..full stop hizo nyingine ni xcuse zisizo na maana.
City wametumia vizuri makosa yetu km ss tulivyotumia makosa ya arsenal siku ile.
Note:Utd hatuwezi fika popote kama LUKAKU akiendelea kucheza vile...ni mzigo..mzito habebeki.
Ameniudhi sana mpk leo..
Ww ndo hujielewi..am pretty sure hata hujui kucheza mpira na bado unataka always tuwe tunashinda despite the fact kwamba unaona timu yetu ni mbovu kuliko city..u know nothig bro..piga kimya.Acha uboya kacheze ww huo ndo mpira kubaliana na matokeo.
Mkuu we nimekumbali.Manchester united waongeaji kuliko uwezo wa team yao
Tatizo wengi hatutaki kukubali udhaifu wa timu yetu hili lipo wazi kikosi chetu hakitishi bhana. Anaebisha abishe tu Tokwe povu ni kawaida ya ushabiki kutetea timu yake.Guyz Tukubali tu Gardiolla alituzidi maarifa..full stop hizo nyingine ni xcuse zisizo na maana.
City wametumia vizuri makosa yetu km ss tulivyotumia makosa ya arsenal siku ile.
Note:Utd hatuwezi fika popote kama LUKAKU akiendelea kucheza vile...ni mzigo..mzito habebeki.
Ameniudhi sana mpk leo..
Hawa man utd kubishana nao ni kupoteza muda. Wahajuw kusoma nyakati. Wameshakalili ya zamani. Kwan City akipoteza, wao hawatapoteza tena?Sijakuelewa, May kuna nini? na kuwa sahihi kwenye nini? Hakuna anaweza kutabiri ya May. yaani kwamba wewe utakuwa sahihi iwapo kama city hachukui kombe au city atachukua kombe lakini atakuwa amefungwa?
Mimi nakubaliana na wewe kwa haya.
1. City ita ?????????
2. City hawata ???????
3. City kuna EPL, UCL, FA sijakuelewa unamaanisha nini hapa.
Mimi nachojua City kwa sasa wapo vizuri na ni timu bora kuliko Man U. Ukiniuliza kwanini nitakuambia kulingana na mechi 16 walizocheza. kwani wewe huna ile app ya livescore?
Tusiangalie ya May. tuweke mwezi mmoja baadae na tuone nn kitawakuta. Sasa may ni mbali sana.
“I think they are a very good team, they are lucky, they have decisions in their favour,” Mourinho said.
Asked whether the title race was now over, Mourinho said: “Probably, yes. Manchester City are a very good team and they are protected by the luck, and the gods of football are behind them.”
Wewe unasema hivi : City hawawezi kucheza kwa kasi hiyo kwa mashindano yote. Mimi nauliza kasi ipi? wewe unaona ni kasi mimi naona ni mfumo wa kocha wetu.
Mpira anaochezesha Pep ni ule aliochezesha barcelona, Kamfunga Arsenal, Kamfunga Chelsea, Kamfunga Liverpool, Kamfunga Man United, sio kama hatafungwa bali mpira wake bado utabaki kuwa huu tunaouona.
wewe usiniambie mambo ya May, wakati juzi tu walikuwa wanasema we subiri tarehe 10 dec. imefika sasa wengine wanasema subiri May.
Kabla hujaropokwa understand what i was responding toAhahaaaaaaaaaaah...
Ulikua unaangalia mechi gani wewe jamaa..!?
Stones ni majeruhi,hajacheza hii mechi..!
Au ulikua unachezesha PlayStation game..!?
Naona umefurahi, nafikiri ungesoma vizuri hio comment ungejua nini nimemaanisha kuliko kujichekesha chekesha4G!!!!!!!???[emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nani huyo kaliwa hizo 4G [emoji30] [emoji1] [emoji1]
Surely what he meant is, we expected goals from set pieces from the Level Man city claim to be, sio magoli ya kumgonga huu na yule kisha uti mguu ndio ushindeAnaesema kuw City kafungia bahati simuelewi kabisa. Ulitaka ufungwej ndo ukubali kuw ujafungiw bahati?
Kiukweli kabisa leo sielewi kwanini Utd hatukutumia udhaifu huo wa City kuwamaliza
Okay tumemkosa Pogba ila still kuna watu wangeweza kufanya kazi hiyo, then yule Walker mwanzoni tuu alikula kadi kwanini Rashford /Martial wasingetumia nafasi hiyo kumkimbiza.... Kompany wa msimu huu sio yule wa misimu miwili iliyopita ila tumeshindwa ku take advantage
Hata set pieces tumeshindwa kutumia advantage ya wachezaji wetu warefu, City wengi wafupi hata kocha wao kabla ya mechi alikuwa na wasiwasi.
Kiufupi leo City hawakutakiwa wapate hata point moja, ila iliandikwa washinde tuu
Ww ulizuiwa kufunga ya ivyo?Surely what he meant is, we expected goals from set pieces from the Level Man city claim to be, sio magoli ya kumgonga huu na yule kisha uti mguu ndio ushinde
Swali sio kama mimi nilizuiwa au not. Kwa mechi ya juzi, inaonekana kuwa Man utd wameweza kuwazuia Man city kutengeza magoli, kwa bahati mbaya, lukaku akawa anawatengezea. Ofcourse, ili upate goli lazima kuwe na error somewhere, lakini not such errors za Lukaku.Ww ulizuiwa kufunga ya ivyo?
Asante mkuu!!Ww ulizuiwa kufunga ya ivyo?
Umeongea kama mpagani mkuu suala hapo ni mmelazimishwa kufanya makosa abayo beki zilikuwa zinajisahau alfu lukaku ndyo anabeba duty ya ku clearSwali sio kama mimi nilizuiwa au not. Kwa mechi ya juzi, inaonekana kuwa Man utd wameweza kuwazuia Man city kutengeza magoli, kwa bahati mbaya, lukaku akawa anawatengezea. Ofcourse, ili upate goli lazima kuwe na error somewhere, lakini not such errors za Lukaku.