Manchester United (Red Devils) | Special Thread

babu fegi alikua na timu ya kawaida sana ila ilikua inapambana hatari ila kuna baadhi ya mechi tulibebwa na bahati na si soka la uwanjani....hao city rejea mechi zao 2 za nyuma na soton na westham ndio utajua nini nachokiongelea
Ndugu naamini hatuna legality ya kusema city anashinda kibahati wakati tulipokutana nae katuonyesha mpira wa hali ya juu na kutufunga, na wakati huo huo sisi hatukufanya chochote cha maana. Ukitaka kuongelea bahati ya city vizuri ni vema ukaanzia na ulivyokutana nae ni bahati gani aliipata. Mourinho anatafuta huruma tu.
 
kwangu ni bora aje dyabala kulko huyo perisic
Tatizo hata dyabala akija tutapoteza hela tu na talent yake haitaonekana kwa sababu ataambiwa akakae namba 3. Na Mou anamtaka sana perisic kwa sababu ni aina ya wachezaji wanaomudu kucheza wingback.
 
ningeandika mengi sana hapa ila kinachoniponza ni uvivu wa kuandika tu but soma coment huko juu kuna raia wana uwezo mkubwa tu wa kupambanua hoja zako watakujibu
 
Huo ni ukweli, katika magoli yote mawili hayakuwa yametengenezwa kwa mfumo. Yalitokana na dead balls ambazo kimsingi huwa ni bahati.

All in all United miaka yote huangaika kwa City, Liverpool na Arsenal.hata enzi za Fergie
Lakini tujiulize sisi mara ngapi tunatumia vema hizo dead balls? Ndio hapo linapokuja suala la umakini ndugu.
 
Magoli yao yalikuwaje?? Hapo ndipo ilipo hoja. Uchezaji wa United ni wa kiufundi sana japo watu wanachukulia powa sana.

Mpaka Pep anacheza na beki watano so kawaida.

Movement na derribling za Debruyn hazikuwepo. Only Sterling was active
Hyo mipira ya hatari ilifikaje kwetu na lukaku kusababisha madhara? Kama syo kukaribisha mashambulizi kupita kiasi kwa kitendo cha kukaa nyuma na kubutuabutua mipira hovyo. Mimi naamini Man U kwa wachezaji ilio nao si timu ya kucheza very defensive inapocheza na timu za top six bila kujali nyumbani au ugenini. Inaweza kufunguka na ikapiga yeyote yule.
 
Kikosi finyu?! Vp tulipocheza na arsenal, chelsea, liverpool, tot. Hata mwaka jana tulitumia approach hyohyo tulipocheza na city, liver, chelsea
 
City anatandaza soka mkuu.. Mengine ni kujipa moyo tu
 
Kwl hamjakata tamaa kabisa hv sir fergie aliondoka man u mwaka gani?
 
habari mkuu upo?
 
Nasikia babu seya ni mshabiki wa man cty na taarifa zilizopo ni kua kafurahi zaidi ya ile juzi alivoachiwa kwa msamaha wa mh para asee
 
Nasikia babu seya ni mshabiki wa man cty na taarifa zilizopo ni kua kafurahi zaidi ya ile juzi alivoachiwa kwa msamaha wa mh para asee

Haya ukawa cha ajabu timu yako ni zile zenye point 29 sambamba na burnley ila unafurah mashabik wa timu ndogo bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…