Mkuu umeongea ya maana sana. Kama ukiniuliza kocha gani ana akili pale uingereza nitakwambia Mourinho. Jamaa mbinu zake ni nzuri sana na ni fundi wa kuusoma mchezo for sure. City sijaona makali yako japo katufunga na hizo possesion ndiyo mfumo wa gadiola hata afungwe ataongoza kwa possesion.Chifu, ingawa nami pia siyo shabiki wa José, lakini katika hili sikubaliani nawe.
Ndiyo, tactics leo hazikuwa sawa. Lakini huwezi kum-dismiss José kwa stats za leo. United ya SAF ilipigwa 6-1 na City hapo hapo OT. Unakumbuka stats zake? Unakumbuka stats za Barća vs. United UCL Finals?
Binafsi, naridhika sana na anachokifanya José. City have the best form in EPL, kama siyo kwenye ligi zote za Ulaya kwa sasa. Kufungwa na City, kunauma sana, lakini siwezi kusikitika sana pia.
Pengo la Pogba naona hujaliongelea! Yeye ndiye best United player, ukimtoa DDG. Kumkosa kwenye game dhidi ya on-form City siyo jambo dogo.
Ligi bado. City can’t sustain hii pace mpaka mwisho. Pace ita dip pale mechi zitakapoanza kujazana kwenye mashindano anayoshiriki.
So, keep it positive and optimistic bruv.
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
You mean you don't have brain?Brainless
Mata kacheleweshwa ndio.. But mou aliliona hilo la kumuingiza mata mapema kiungo kitakuwa weak as hana holding at least mtibuaj fellain angekuwepo au pogba... Herrera na matic wanacheza chini sana na pasi fupi kitu ambacho kilifanya mipira ya juu leo kuwa micahache... Pia wing ya martial na young kidogo haikuchangamka as city walikuwa wanakaba nafas ya martial na mwiaho wa sku young akawa anawaza back pass.. Creativity ya game kubwa kama hii tumekosa kiungo cha pogba na wing inayokaba na kudrible..wachezaji ukiacha individual mistakes wanacheza kulingana na
maelekezo ya kocha.
city wanafungika ukicheza Mpira...na wachezaji wa kufunguka wapo utd y asiwatumie?
Unajua sana kuotea mkuuNahisi man u hatupaswi kuzui sana.
Hawa jamaa ni wabovu kule nyuma.
Yaani tukipiga counter kama 5 hivi..TATU zitakuwa Goli zote
AssistLukaku mzigo alioubeba katikati ya miguu yake ni mzito mno
Mmefunga gori akalikataa sio?Refa nae mbovu sana.
Nyie ni mabingwaTaratibu naanza kukata tamaa ya ubingwa
Alafu ukacheze wewe?Lukaku benchi limuhusu kama Mkhtaryan
Mkuu matokeo umeyaonaaaa au umesahau uliniambia nije hapa nikukumbushesoton waliwatoa jasho mpaka goli la sekunde za mwisho ndio liliwapa pointi3 na kikosi chao cha kawaida tu vp sie tulio na kikosi bora na wachezaji wapambanaji kila idara
city anakufa 2-0.....uje hapa kuqoute baada ya mechi
Man city hawana lolote hao mechi yao dhidi ya west ham waliponea chupuchupu west ham kama wangekomaa kama jinsi walivyo komaa kwa Chelsea city wangepoteza
Man u hawawezi kuja kilicho wapata ni dozi kuuWatakuwa wamelala humu ndani. Sio Kwa ukimya huu
City kacheza ilimradi ili kuipotezea utd focus na goli zote mbili ni dead balls na makosa ya kuclear. Nimegadhabishwa na mlima wa 11 points behind na kupotezewa rekodi nzuri ya nyumbani. City waliamua kucheza kwa kurudi nyuma sana kias penetrations za utd zikakata, why herdeson asivunjike pua kabisa.
We are still utd japo am so disapointed... Ggmu