kayeke
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,601
- 1,753
HahahahaUlikuja mbio..
HahahahaUlikuja mbio..
Broo upo?This is United!!!
Angecheza na wing backs tungewapiga kilaini tu hawaMou sijui anahofia nini...City ukiwapa pressure mabeki wanataga...!
AsanteHT
Moja Moja...
Shukria.Angalia post yangu ya mwisho kabla ya hii
Unakaribishwa na wewe
SureWaat i need twende Ht tukiwa draw au tumewafunga nashukuru kwa hilo i thnk 2nd half kocha atakuja na plan B.
Binafsi kwa leo naona Lingard game haijamwendea powa apumzike Mata akamate mikoba yake.
Mpaka sasa viungo,mabeki,Washambuliaji wamefanya kazi yao vizuri hata goal ni setpieceball halafu kama offside vile.
Kabisa yan tukiwapa presha kule nyuma wanapwaya, goli la Rashford limeturudisha mchezon. Ngoja tusubiri nusu ya pili. GgmuNahisi man u hatupaswi kuzui sana.
Hawa jamaa ni wabovu kule nyuma.
Yaani tukipiga counter kama 5 hivi..TATU zitakuwa Goli zote
Tactics-mbinu,Habari ni Mashabiki wenzangu, nilikuwa kimya Kutokana na changamoto za Mtandao.
Naomba kujua Tofauti kati ya Tactics na Techniq.
Baada ya Match tutafanya uchambuzi.
Hii match ya leo ni zaidi ya Mpira.
Ili ucheze na flanks vizuri ni vema ukawa na viungo wenye kupiga long passes accurate ambalo leo tunamkosa Pogba hivo inawalazimu wingers kuja kuchukua mipira nyuma.Matic and Herera are good in short passes who while pogba is good in both kind of passes.Angecheza na wing backs tungewapiga kilaini tu hawa
Hapana mkuu 25% possession at home sio sawa.Bila defensive game ya leo hali itakua mbaya kaka tukifunguka tu tukiiga mchezo wa city watatunyoa na mtu sahihi wa kupunguza temper kama hizi ni Pogpa na Carrick ambao wote hawapo.acha tubane uwanja tu
Kaka kuna timu hata wakiposses huwez kuwashangaa kutokana na nature ya mpira wao Man utd hatuna utamaduni wa kuuchezea mpira pasi tano goal.Hapana mkuu 25% possession at home sio sawa.