Manchester United (Red Devils) | Special Thread

He didn't mean to do that...


Hile ni Kadi Sahihi ingawa yawezekana kuwa Pogba Hakukusudia Kuumiza 50/50....
Lakini Kumbuka Hata Sadio Mane Hakukusudia Kumuumiza Kipa Wa Manchesta City Lakini Pia alipewa Red Card! Na timu ilipoAppeal FA ikakataa Kuifuta....

Mkuu Kadi ni Kadi tu Whether intentionally or unintentionally...



Kapewa kadi mtu muhimu sana katika timu..

Ila ile naona kama refa kakurupuka sana maana lengo la pogba lilikuwa ni mpira, naona kama aliugusa kwanza..

Kadi ya pogba ikitizamwa vzr inaweza futwa

Ile kadi planned
 
Mashabiki wa soka njooni tumpongeze Antonio Valencia

Kwa kweli tony Valencia na Da Gea ndio wachezaji ambao wameichezea Man U dakika nyingi zaidi kwa misimu 4 sasa...
Wanasitahiri pongezi na recognition aiseeee
 
Matic umemsahau. Dakika alizokosa ni zile alivyotolewa majeruhi tu kwenye mechi kabla ya jana.
Sijamsahau, Valencia na De gea tangu 2014 wamechezea man u zaidi 90% minutes ya mechi zote....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…