Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

I think man of the match apewe De Gea

Mkuu upo serious kweli?

Hilo nalo ni swali? "Hicho ndicho kitu halisi"
upload_2017-12-2_19-31-48.jpeg


Kuna mdau hapo juu ninafikili ni Nzi ameshauri De Gea ndio inabidi awe mchezaji anayelipwa kuliko mchezaji yeyote kwa sasa ndani ya Man Utd
 
Sawa Mou ni kocha wetu ......

Lakini ule ukweli anatakiwa kuacha dharau na kejeri kwa Mata....!! Hivi Lingard anaanza vp mbele ya Mata? Hata kwa jicho la kawaida Mou anataka kumdanganya nani kwamba Lingard yuko vizuri kulinganisha na Mata??.... dharau....!!

Sawa Rojo umeshaamua acheze kushoto (back).... huyo Young anafanya nini kwenye kiungo Kwanini usimpe nafasi Herrera??

Any away yeye ndiye anayaejua zaidi na Hapangiwi.... ila inakera

GGMU GGMU GGMU GGMU
Lingard..........
 
Manchester United move to within five points of Manchester City with their win, who play tomorrow, but will be without Pogba for next weekend's derby. The Red Devils looked shaky at times and were fortunate with the result, though they too deserve credit for some spectacular performances in attack.
Arsenal's 12-match winning run at home in the Premier League comes to a close but the Gunners were unfortunate to be on the losing side today. Whilst they were guilty of defensive mistakes, which were ultimately the difference, Wenger's side were spectacular in attack. On another game they could have got five or six and it's clear today simply wasn't their day. Whilst it's a bitter blow, an inquest shouldn't follow and there's plenty of positives to take.
 
Back
Top Bottom