[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu kweli aisee.Hii mechi kama una moyo mwepesi huangalii....njaa, Bp sukari......[emoji3] [emoji3]
[emoji1] [emoji1] [emoji23]Acha afie humo humo uwanjani, kwa mpira tuliokua tunacheza wakati hayupo bora abaki humo humo
Shughuli ilishaanza tangu kipindi cha kwanza mkuuKona zimekuwa nyingi sana hawa wakipata bao moja shughuli inaanza upya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitaangalia matokeo tu, siwezi kufa kwa presha!
Come down bruv..:Unatangulia 2 ndani ya dakika 15 baada ya kuwaambia 2wapge la 3 tuuwe game unarizika unapaki bus