Mkuu unaona wanavyocheza uwanjani? .Ovyo kabisa,hafananii hata mchezaji wa championshipKwanini unahisi Utd wamepotea kumsajili Lukaku?
Mkuu unaona wanavyocheza uwanjani? .Ovyo kabisa,hafananii hata mchezaji wa championship
hakuna akiba ya maneno..huyu ni straika wa kiwango cha chini sana..hivi hizi goli anazokosa ni za kushindwa kufunga..mechi 10 goli moja..that's patheticMkuu weka akiba ya maneno
hakuna akiba ya maneno..huyu ni straika wa kiwango cha chini sana..hivi hizi goli anazokosa ni za kushindwa kufunga..mechi 10 goli moja..that's pathetic
He wouldn't have accepted the offer. City had high quality players and could spend any sum to buy a player of their wishes. Peps likes team with qualities already.Eric Cantona says Pep Guardiola would have been "logical choice" as Manchester United boss over Jose Mourinho
Tumvumilie uwepo wake unasaidia kwa namna fulani mpaka atakapo kuja kuikaa vemaIla Lukaku nae anatugharimu sana...
Possession tulikuwa na 41%Mkuu sawasawa......
Shida ni kwamba Young haingii mchezoni kwa malengo unayodhania mkuu wangu. huyo yupo kuongeza nguvu ya mabeki pale nyuma. Mou mpaka leo licha ya kwamba anawachezesha pamoja Lindelof na Smalling.... lakini hawaamini hata kidogo pale kati..!! Ndiyo maana ya uwepo wa Young kwenye Mechi hii.
So mechi ya leo tegemea mashambulizi ya kushitukiza na ninatabiri mechi mbovu kuliko ile iliyopita na kama tukipata ushindi basi ni wa mbili kwa moja au moja zero..!!
Nilikuwa simuamini kabisa huyu kijana, ngoja tuone mechi zijazo atakuwaje.Ukiacha Goli za Ashley Young, Mhuni Lindelof taa yake ya kijani imeanza kuwaka...anakichafua haswa.
Swali bila alama ya ?Hilo ni swali nalo mkuu!???
Kuna siku tunakuwa na possession 70% na hatufungi. Sio mbaya kuwa na possession 41% na kushinda 4Possession tulikuwa na 41%
Ile centre back ya smalling na lindelof huwa inachomesha sana. Mou aache kudharau team kama hizi kwa kupanga kikos cha ajab
Nitarudi badae ila lingard ni wa kwenda Huddersfield huku hayupo sehemu sahihi.
Sawa Mou ni kocha wetu ......
Lakini ule ukweli anatakiwa kuacha dharau na kejeri kwa Mata....!! Hivi Lingard anaanza vp mbele ya Mata? Hata kwa jicho la kawaida Mou anataka kumdanganya nani kwamba Lingard yuko vizuri kulinganisha na Mata??.... dharau....!!
Sawa Rojo umeshaamua acheze kushoto (back).... huyo Young anafanya nini kwenye kiungo Kwanini usimpe nafasi Herrera??
Any away yeye ndiye anayaejua zaidi na Hapangiwi.... ila inakera
GGMU GGMU GGMU GGMU
Lingard leo ndani...huyu mwatukaji "in kitenge's voice" hatabiriki
Mkuu kwa Lingard nakubaliana na wewe kabisa, mimi huwa naona ni mchezaji wa sub na hasa pale timu inapokuwa inaongoza comfortably kabisa.
Ila hapo kwa Young, naomba nitofautiane na wewe, pembeni kule tunamuhitaji Young zaidi ya Herrera anavyohitaji kucheza.
Lukaku anaogopa goli...! Lakini at least anaweza kutoa ASSISTS kwa wengine.Lukaku amepoteza confidence na Mourinho anajaribu kuwachezesha pamoja na Zlatan lakini combination inagoma,kuna haja ya Zlatan kuanza next game kumpunguzia pressure Lukaku