hata nikiangalia sijaona kitu wachezaj wa chelsea wameizid united mourinhi plan yake mbovu leo utafikir anacheza na wakina Kdb + silva viungo wabunifu kumbe duuuuuuu
hakuna cha kujitetea kocha wako mwenyewe anajua 3 lazima ataziacha old traford kocha wangu sio mzur mech za away kawa mbovu kwa top 6 naona guadiola kawa mwamba away and hom
Watu wetu wa kati hawana energy??? Upo serious kweli mkuu ???......mechi ya Leo kiungo gani mwnye nguvu kumshinda matic .... ????......kwa pale EPL viungo wachache wenye nguvu matic na dembele wamo
hakuna cha kujitetea kocha wako mwenyewe anajua 3 lazima ataziacha old traford kocha wangu sio mzur mech za away kawa mbovu kwa top 6 naona guadiola kawa mwamba away and hom