Sina kumbu kumbu kama barbertov alikua anaweza kupiga chenga, kupiga chenga sio kipimo cha straicker, straiker kazi yake ni kufunga na siokupiga chenga!!
Morata kapata nafasi za wazi kama tatu hivi mbili akiwa yeye na kipa....hizo nafasi angezipata lukaku angefunga zote!!
Bado sijajua kwanini martail anawekwa bench...
All in all, namba tisa anamegemea namba 10 na namba 8! nadhan uliona kiwango cha micky leo kilikuaje!!!