Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimeleta rambirambi....[HASHTAG]#Radica[/HASHTAG], Kisu cha ngariba# Mbona sikuoni nikukabidhi kidogo nilichonacho
 
Kwa jinsi tulivyocheza leo, kuongelea suala la ubingwa itakua ni kujifurahisha tu ila kiukweli hatutishi wala nini.

Tuna timu nzuri mkuu, sema mbinu za Mou kwenye big match zinaboa sana.. anajihami mno

Mbona kipindi cha kwanza tulicheza fresh na hata kuanzia dk ya 78.. Ila tulivyorudi kipindi cha pili sijui aliwaambia timu isishambulie maana timu nzima ilikua nyuma.

Anapaswa abadilike na aache uoga wake, angalia man city waleeee
 
Unafungwa na mchezaji aliyekuwa chaguo lako la kwanza kama no 9..

Mshambuliaji hawezi hata kupiga chenga mbili.. Hivi tuliwahi kuwa na namba tisa aina ya lukaku?
Sina kumbu kumbu kama barbertov alikua anaweza kupiga chenga, kupiga chenga sio kipimo cha straicker, straiker kazi yake ni kufunga na siokupiga chenga!!

Morata kapata nafasi za wazi kama tatu hivi mbili akiwa yeye na kipa....hizo nafasi angezipata lukaku angefunga zote!!

Bado sijajua kwanini martail anawekwa bench...

All in all, namba tisa anamegemea namba 10 na namba 8! nadhan uliona kiwango cha micky leo kilikuaje!!!
 
Upo sawa mkuu
 
kweli sisi bado kama tunafungwa na litimu libovu kama hili li chelsea city tutamuweza kweli
Hatuwezi kumfunga City kwake. Tatizo Mou anacheza mechi kubwa akiwa na hofu. Ukiacha City, hizi zingine so timu as kuogopa. Ila hatukuwa na performance mbaya sana.
 
Unafungwa na mchezaji aliyekuwa chaguo lako la kwanza kama no 9..

Mshambuliaji hawezi hata kupiga chenga mbili.. Hivi tuliwahi kuwa na namba tisa aina ya lukaku?

aisee ni muda muafaka wa kumrudishia namba yake rashford hao wakina cahill na luiz wanachanganyikiwaga akikaa rashford
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…