Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,996
- 46,723
ni ujinga flan eti kifa kisa mchezaji flan kakosa penaltyHivi mbona ulaya sijasikia mashabiki wakifa kwa presha kama hapa bongo inapokua Simba na Yanga? Au huwa hawatutangazii??
ni ujinga flan eti kifa kisa mchezaji flan kakosa penaltyHivi mbona ulaya sijasikia mashabiki wakifa kwa presha kama hapa bongo inapokua Simba na Yanga? Au huwa hawatutangazii??
Hivi mbona ulaya sijasikia mashabiki wakifa kwa presha kama hapa bongo inapokua Simba na Yanga? Au huwa hawatutangazii??

Si vibaya ukavuta kiti kabisa mkuuBila shaka nipo jirani ! Nimekuona ulipo kaa
Wewe ni shabiki wa mpira wa miguu au siasa?Yani man utd akishndwa kumfunga Chelsea Leo pale darajan ...hatumfungi tena mpk chadema watakaposhika dola
Mkuu sijakuelewa unataka link ya kurudi pogb?Pogba anarudi link wakuu?
Haahah I mean lini. Hizi keyboard za mchina hazijawahi muacha salamaMkuu sijakuelewa unataka link ya kurudi pogb?
Hahaaaa poa poaHaahah I mean lini. Hizi keyboard za mchina hazijawahi muacha salama
Duh aise asernal kalemewa labda kipnd cha pil wabadl mbinu KDB ni assassinator haswaUkiangalia stats , Arsenal hajaelemewa sana. Anajitahidi.
De gea, Jones, Baily, Blind, Antoni, Matic, Hererra, Mkhi, Marcus, Jessy, Rumelu.
Jersey nna shaka naye japo kukimbiakimbia kwake kuna tija. Dogo anakabaka toka kwa kipa
Kweli, lakini ukicheki Arsenal wana kona 4/2, wana foul 4/6, total shots 4/3, possession 40/60 n.kDuh aise asernal kalemewa labda kipnd cha pil wabadl mbinu KDB ni assassinator haswa
Nakubali kazidiwa aisee, cha pili!!!Kweli, lakini ukicheki Arsenal wana kona 4/2, wana foul 4/6, total shots 4/3, possession 40/60 n.k