Unakumbuka Chelsea alichukua nayo ubingwa..?? Mbna ilikuwa inapaki bus hadi mechi ndogo? Mourinho ana hesabu zake kichwaniMkuu malengo nn km co ubingwa ? Unavyojihami kwenye game kubwa ukapata point 1 badala ya 3 wakat city unaikimbizananea anasaka 3 kokote kule unategemea nn ? Lbd km malengo ya bodi ni kuwa kwenye top 4 !!!
hebu tuachie kelelePoint 3 angechukua za za huddersfield ila ht 1 ilimshinda ! Halaf ucjafanye unaijua sn man 2lioizoea man 2mezoea timu kushambulia
Shush!!!! Mou bwana!!!!
Ndiyo maana tunaambiwa tunaongea sana!!!hebu tuachie kelele
tumeshinda
Kiujumla tuna tatizo kubwa sana kwenye namba 10 kwa sasaMie nafikiri lukaku yuko poa na ile ndio style yake sema unamuona kapwaya kidogo ni kwasababu feeders hazikuwepo nyuma yake.
Kwa tathmini yangu mikh ndio katokota sana leo na ndio alikua kete ya ushindi toka first half.
Dinosaur =Arsene WengerMkuu jamaa anachosisitiza ni kwamba duniani Mou anajulikana kwa defensive game plan,ni kama ambavyo Pep anajulikana kwa attacking game plan.Sasa bodi ya UTD imempa mkataba Mou na inajua kwamba atakuwa anacheza hivyo ila ilimradi anafikia malengo ya club.
Pia mpira umebadilika duniani,labda hata SAF angebadilika kutokana na mazingira.Nadhani unaona kilichompata dinosour kwa kugoma kubadilika.
Alafu sasa ukichukia picha zake ndio zinakuja kwako nyingi zaidi. Mbona kwangu haziji mpaka nimemuomba anitagHata kama ni uhuru wake kwanini afanye kitu ambacho wengi hawakipendi wala kufurahia.
Suala yeye kuwa active ni suala lake binafsi na wala halileti uhalali wa yeye kufanya yasiyopendeza wengi.
Mimi penda sana mipichaWala si suala la kuona fahari.Kama watu wengi wanapinga unachofanya kwanini uendelee?jitafakari
Hunishind mimiMimi penda sana mipicha
Naomba ufafanuzi plizii!Dinosaur =Arsene Wenger
Yes aongeze kutupasha habariMzee baba ongeza mapicha picha....binaadamu wanafiki sana kuna kipindi RUTASHUBANYUMA alihamia katika uzi wa Likes humu watu wakaanza kusema mara uzi upo kimya nk..
Hayo mapicha picha ndiyo aina ya mchango wake kama wengine kazi yao kuqoute matusi tu nk
Alafu sasa ukichukia picha zake ndio zinakuja kwako nyingi zaidi. Mbona kwangu haziji mpaka nimemuomba anitag
Ni rekodi ya kuelekea ubingwaMan Utd are now unbeaten in their last 37 home games:
WWDWWDDWDWWWWWWDWDWWWDWDDWWDDWWWWWWWW
Equalling their run from 2011.
Hata mie yani kuna muda natamani nitume za kwangu!!!Hunishind mimi
Unaogopa maneno fenichaHata mie yani kuna muda natamani nitume za kwangu!!!
Acha tu ila kuna siku nitajilipua nikiwa old trafford!!!!Unaogopa maneno fenicha
Mkuu hizo "elite teams in europe" ndiyo zipi??Mie naona Mikh anajitahidi kwa nafasi yake ila anashuka sana na anashidwa kupanda kwa haraka,ila naamini viungo wetu wakirudi tutamuona Mikh akirudi kwenye ubora.
Najua Lukaku ni style anayocheza ila sasa hivi defense nyingi zimemjua kwamba hajui chenga na ukiwa unacheza na timu kubwa zinajua weakness yako inakuwa ngumu sana kufunga.Leo Mou alijua kwamba Eriksen ndio uti wa mgongo wa spurs na tulimficha kweli kufanya spurs wawatumie Winks na Aurier kufanya mashambulizi.
Lukaku inabidi kubadilika kama anataka kuongoza attack ya timu kama Utd,naomba tuangalie strikers wa elite teams in europe halafu tumsimamishe na Lukaku.
Madrid, Barcelona,Juve,Bayern nadhani zinajulikana.....na sasa PSG wanajaribuMkuu hizo "elite teams in europe" ndiyo zipi??