Point 3 angechukua za za huddersfield ila ht 1 ilimshinda ! Halaf ucjafanye unaijua sn man 2lioizoea man 2mezoea timu kushambuliaIfike kipind uelewe falsafa ya kocha anayefundisha timu yako... Kupaki basi ni mbinu take ambayo ameitumia kwa mda mrefu na imempa mafanikio na bodi ilivompa kazi ilijua hayo...
Na co kwa man cty tu subri kuona anapaki hadi kwa crystal palace ngoja mda ufike
Muhimu point tatu
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Endelea na mazoea yako na kuijua man u SanaPoint 3 angechukua za za huddersfield ila ht 1 ilimshinda ! Halaf ucjafanye unaijua sn man 2lioizoea man 2mezoea timu kushambulia
Ht ww utakuwa unafaida na alieajiriwa....ucpangie wa2 chakuongea au kushabikia unachopenda wwEndelea na mazoea yako na kuijua man u Sana
Ila asiyeshambulia ndo kaajiriwa
Afadhali umwambie huyo anayejiita [HASHTAG]#jux[/HASHTAG] juma#Waliopwaya sana Manutd ni Mikhi na Lukaku ni kama vile hawapo uwanjani
Mkuu jamaa anachosisitiza ni kwamba duniani Mou anajulikana kwa defensive game plan,ni kama ambavyo Pep anajulikana kwa attacking game plan.Sasa bodi ya UTD imempa mkataba Mou na inajua kwamba atakuwa anacheza hivyo ila ilimradi anafikia malengo ya club.Ht ww utakuwa unafaida na alieajiriwa....ucpangie wa2 chakuongea au kushabikia unachopenda ww
Mbadala wa Lukaku yupo.....anaitwa ZlatanRashford anacheza winger na Lukaku anacheza kama straiker.
Lakini Rashford kwangu ni mchezaji muhimu zaidi ya Lukaku..m
Nahisi tunapaswa kutafuta mbadala wa lukaku...
Kama lukaku hawezi kuperform vizuri , lazima tuwe na mbadala wake.
Hahaha umenikumbusha kunakipindi watu walimuhitaji arudi.Mzee baba ongeza mapicha picha....binaadamu wanafiki sana kuna kipindi RUTASHUBANYUMA alihamia katika uzi wa Likes humu watu wakaanza kusema mara uzi upo kimya nk..
Hayo mapicha picha ndiyo aina ya mchango wake kama wengine kazi yao kuqoute matusi tu nk
Too aged...Mbadala wa Lukaku yupo.....anaitwa Zlatan
Wana shida hao tukishinda wengi wao huugua kabisa waweza kuta wamo ndani ya blanket muda huu.Na wataongeza Kane hakuwepo,cjui akifa itakuwaje!!!
Bra umuelewesh wew mkuu...Mkuu jamaa anachosisitiza ni kwamba duniani Mou anajulikana kwa defensive game plan,ni kama ambavyo Pep anajulikana kwa attacking game plan.Sasa bodi ya UTD imempa mkataba Mou na inajua kwamba atakuwa anacheza hivyo ila ilimradi anafikia malengo ya club.
Pia mpira umebadilika duniani,labda hata SAF angebadilika kutokana na mazingira.Nadhani unaona kilichompata dinosour kwa kugoma kubadilika.
Goli la leo unajua nani kaassit??Kama lukaku hawezi kuperform vizuri , lazima tuwe na mbadala wake.
Kaka kuna kitu kinaitwa strategies kwenye kupambana, Mou anajua kuchukua ligi sio mechi moja au mbili yeye anajihamia kwa sasa ila itafika kipindi City atapoteza mechi zake na kutoka suluhu, suala ni kuwa na point nyingi pia kumbuka kwamba kwasasa ligi sio top four tena ila top six.Mkuu malengo nn km co ubingwa ? Unavyojihami kwenye game kubwa ukapata point 1 badala ya 3 wakat city unaikimbizananea anasaka 3 kokote kule unategemea nn ? Lbd km malengo ya bodi ni kuwa kwenye top 4 !!!