Wewe mshikachuma ulianza kwa kubeza Man U kuwa tuna mpira wa kawaida sana....usitukane wakunga na uzazi ungalipo! Na mwenzio akaongeza hatuna kipa...naamini penalty iliyopanguliwa mliiona...kimsingi Man U leo ingewapa zawadi ya goli kwa kila mchezaji
Eng. Hawaamini hao, sasa dawa yao ni 9-1. Ukiwaambiwa ManU matawi ya kileleni hawataki.
In death row: Liverpool, Chelsea, ManC, Tott.spurs, Aston...........
Eng. Hawaamini hao, sasa dawa yao ni 9-1. Ukiwaambiwa ManU matawi ya kileleni hawataki. <br />
In death row: Liverpool, Chelsea, ManC, Tott.spurs, Aston...........
<br />
<br />
Uko sawa na fisi anayebahatisha MZOGA akafakamia, halafu aanze kujisifia kuwa anajua kuwinda swala walio hai!!! Endelea kuota halafu mbeleni usisahau haya maneno yako....
man wachovu tu arsenal na uchovu wake wanawapiga mbili?angalieni wanaume wa kazi spurs kamili imepigwa 5.na arsenal ikiingiza timu kama ya jana kwa man c inakula mwezi(30)