Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

080cce344a72f3b1894f663c26b0a146.jpg
50e6b53f103aebbf04c96028b4cbc731.jpg
31d11406c718b173e5c3ad2ff37ad307.jpg
 
Haha acha kajikuta unajua sana mpira wewe ..una uhakika gani kama fans wa Chelsea walitokea arsenal? Wee vip? Wewe kwenye mpira unachokijua ni historia tu. Huna tofauti na akina shafi dauda. .Chelsea nmekuja nayo kabla hata ya mourinho. .usitake tupelekane kwenye historia mkuu.


Ndiyo Ninauhakika wa Hilo Na Ndiyomana Sikusema Wote, bali nimesema wengi wao kwa Sababu wako na Baadhi ya Wachache Walihama Man United na Liverpool Kuja Chelsea...

Kambla Ya Kuja Muarabu na Hela Za Mafuta Man City Haikua na Mshabiki Bongo/Tanzania/Zanzibar! Sasa Jiulize Hivi Vijishabiki Vyake Vimetokea Wapi Kama Sio Chelsea yani Wale Wale Waliohama Arsenal na Man United kwenda Chelsea, Wakaamua Kuhama Tena Chelsea Kwenda Man City...
Nyie Ni Watu Musiojua Mpira Kwahiyo Kazi Yenu Kuhama Hama tu Kukimbilia Timu yenye Mafanikio Kwa Wakati Husika...
Sasa Nishaanza Kuwaona Washabiki Wa Spurs mmoja mmoja na ninaamini ndiyo nyinyi...

Mkuu Kabla ya Mrusi Kumwaga Hela Chelsea Hakukuwa na Mshabiki Wa Chelsea Hapa TZ hapakuwa na Mshabiki wa Chelsea bali Kulikuwa na Wa Liverpool, Arsenal na Man United! Kwa sababu Kwa Wakati Huo Chelsea Haikuwa Timu Kubwa bali ilikuwa sawa na West ham na Bolton tu, kwani Hata Everton na Aston Villa
zilikuwa Zipo Juu Yake..

Kwahiyo Chelsea na Washabiki Wake Wote Wameanza 2005.. Ndiyo hapo ikajikusanyia Washabiki Magarasa..

Mimi Nipo Zenji na Katika Camp/Kijiwe Yetu Ya Kuongelea Soka Huwa Haturuhusu Mshabiki Wa Chelsea Kuonge Chochote Kwani Tunawajua Kuwa Ni Watu Wasiojua Mpira hawana Uwelewa wowote Juu Ya Mpira bali Pumba tu na Kujisifu kiasi Ya Kwamba Ukiwauliza Hata Formation inayocheza Timu yoa Hawaijui bali wanachojua wao ni Hazard Kapiga Chenga tu...

Hebu Angalieni Michango yenu Katika Nyuzi Munazotembelea Nyinyi washabiki wa Chelsea utaina Upuuzi tu
tu na Kujisifu..

Hata Katika Kile Kijithread chenu yani Mumekaa kama ma-MC mnapiga mayowe lakina hamna cha maana Munachopostst..
 
September 2017
12 Sep UEFA Champions League FC Basel H 19:45 3 - 0
27 Sep UEFA Champions League CSKA Moscow A 19:45 4 - 1

October 2017

18 Oct UEFA Champions League Benfica A 19:45 1 - 0

August 2017
13 Aug Premier League West Ham United H 16:00 4 - 0
19 Aug Premier League Swansea City A 12:30 4 - 0
26 Aug Premier League Leicester City H 17:30 2 - 0

September 2017

09 Sep Premier League Stoke City A 17:30 2 - 2
17 Sep Premier League Everton H 16:00 4 - 0
23 Sep Premier League Southampton A 15:00 1 - 0
30 Sep Premier League Crystal Palace H 15:00 4 - 0

October 2017

14 Oct Premier League Liverpool A 12:30 0 - 0

September 2017
20 Sep Carabao Cup Burton Albion H 20:00 4 - 1

July 2017
16 Jul Tour 2017 LA Galaxy A 03:00 5 - 2
18 Jul Tour 2017 Real Salt Lake A 03:00 2 - 1
21 Jul Tour 2017 Manchester City N 03:00 2 - 0
23 Jul Tour 2017 Real Madrid N 22:00 1 - 1
27 Jul Tour 2017 FC Barcelona N 00:30 0 - 1
30 Jul Tour 2017 Valerenga A 18:00 3 - 0

August 2017

02 Aug Tour 2017 Sampdoria N 19:45 2 - 1

Ukiangalia result hizi basi utajua Mourinho nini anatengeneza katika team, tumuache afanye kazi yake ya kuirudisha Manchester United katika hali yake ya Zamani ya Ushindani
 
Back
Top Bottom