Ivi anarejea lini mkuu?Ni kweli na nimesikitishwa na hili,PSG wanaweza kutumia nafasi hii kumrubuni Mou ili awe kocha wao,hamna kocha atakayekataa kuifundisha PSG kwa sasa kutokana na aina ya kikosi,mikakati yao na uwezo wao wa Fedha.
Board ya Man U inatakiwa kuwa makini kipindi hiki,nimesoma maelezo ya Mou inaonesha amekubali kusajiliwa kwa wachezaji watatu dirisha la usajili lililopita kishingo upande,kumbe alitaka wachezaji wa kazi zaidi ya wa Tano,hasa Mawinga na kiungo,Woodward akazingua huku timu ikitoa mzigo.
Mou anatishwa na aina ya kikosi cha City cha sasa,anahitaji nguvu ya ziada.
January Woodward afanye kitu kumtuliza Mou hamna jinsi.
Inaonekana hawa akina Matta bado hajaridhika nao,anahitaji watu wa kazi hasa.
Tukiacha hilo lakini nimestushwa na Mou kukubali kumuachia De Gea kwa sababu ya Gareth Bale,na bora tulivyo mkosa.
Sioni kama Gareth kama ni mzuri kwa sasa.
Habari nzuri ni kurejea kwa Pogba next match.
Bado Man United tuna nafasi.
Newfame.
ila mkuu winger ni muhimu, mechi ya liver ile nAfasi ya young kungekuwa na kiberenge tungekuwa tunaongea mengine. Nilimuelewa Mou kwanini amemchezesha Young, ila Young ndo Age imeenda.Chelsea walikuwa sharp kwenye usajili kuliko United ?
So ulitaka Woodward atoe £48m kumnunua Perisic ?
Game against Liverpool tayari lawama anaanza kupewa Woodward.Hata angekuwepo Perisic still approach ya Mourinho isingebadilika.Pep Guardiola ana approach zake na aina ya wachezaji anaowahitaji so usitegemee Man United icheze kama Man City wakati inafundishwa na Mourinho
Simaanishi united wacheze kama city hapana, kabla bei ya perisic ilikuwa 35 alivyojivuta inter wakamteua kocha mpya spallert akakomaa had 48 hapo biashara hamna maana yake kishablock ila mwanzo tulikuwa na nafas.
Chelsea katupiga mabao mangapi kipindi mourinho kocha ktk usajili?
Mourinho siku zote anapocheza na timu ngumu huwa anategemea counter attack na kujilinda zaidi hawez kukwepa lawama ed ni mara ngapi kocha kalalamika kuwapata wachezaj anaowataka mkuu ktk kipind cha kujiandaa na pre season?
1.Hizo story za 35m umezitoa wapi,Inter tangu mwanzo waliweka dau paundi mil 48 baadae wakaweka option ya fedha +Martial alivyoingia Spalleti aliweka deadline kama ikifika hiyo tarehe basi hawatamuuza tena.Kutokusajiliwa kwa Perisic kumesaidia kuongeza viwango vya Martial na Rashford angalia statistics zao msimu na msimu uliopita na kama angesajiliwa Perisic nafasi ya wao kucheza ingekuwa finyu,sometimes kununua wachezaji sio solution kocha unapaswa kuwapa nafasi na kuwajenga wachezaji unaowakuta sio kununua tu while unao wachezaji ambao wanaweza kuimprove
2.Unaweza ukatoa list ya hao wachezaji ambao Mourinho aliwapiga bao United akiwa Chelsea
3.Mourinho msimu wa kwanza alitaka wachezaji 4 na wote aliwapata (Zlatan,Pogba,Bailly,Mkhitaryan) msimu wa pili alitaka wachezaji 4 akawapata 3 (Matic,Lukaku,Lindelof) wachezaji aliowakosa ni Griezmann( issue yake iko clear),Morata lakini alipata altenative Lukaku ambaye so far amefanya vizuri kuliko Morata so mchezaji ambaye ammemkosa ni Perisic peke yake na ana wachezaji ambao wanaweza kucheza nafasi yake
ila mkuu winger ni muhimu, mechi ya liver ile nAfasi ya young kungekuwa na kiberenge tungekuwa tunaongea mengine. Nilimuelewa Mou kwanini amemchezesha Young, ila Young ndo Age imeenda.
Mtu kama Lukaku anahitaji sana service ya winger kuliko watu kama martial na Rashford.
Dirisha zima kupita bila usajili wa winger ni uzembe. hasa vile Mou alishasema toka zamani anataka beki, striker, modfield na winger.
na kwa soko hili na form ya perisic atauzwa 60+ msimu ujao.
Tangu Mourinho amekuja anamchezesha Young kama fullback na sio winga so alimchezesha kama winga lakini lengo kubwa ni kumsaidia Darmian kumzuia Salah.Kwa approach Mourinho aliyotumia against Liverpool hata angekuwepo Perisic muda mwingi angekuwa anatumia kuzuia badala ya kushambulia.Pep ammemkuta Sterling average player hakumuuza amembadilisha anazidi ku-improve kila siku,kumsajili Perisic automatically Rashford/Martial wasingecheza na baadae wangeondokaila mkuu winger ni muhimu, mechi ya liver ile nAfasi ya young kungekuwa na kiberenge tungekuwa tunaongea mengine. Nilimuelewa Mou kwanini amemchezesha Young, ila Young ndo Age imeenda.
Mtu kama Lukaku anahitaji sana service ya winger kuliko watu kama martial na Rashford.
Dirisha zima kupita bila usajili wa winger ni uzembe. hasa vile Mou alishasema toka zamani anataka beki, striker, modfield na winger.
na kwa soko hili na form ya perisic atauzwa 60+ msimu ujao.
Tangu Mourinho amekuja anamchezesha Young kama fullback na sio winga so alimchezesha kama winga lakini lengo kubwa ni kumsaidia Darmian kumzuia Salah.Kwa approach Mourinho aliyotumia against Liverpool hata angekuwepo Perisic muda mwingi angekuwa anatumia kuzuia badala ya kushambulia.Pep ammemkuta Sterling average player hakumuuza amembadilisha anazidi ku-improve kila siku,kumsajili Perisic automatically Rashford/Martial wasingecheza na baadae wangeondoka
Nimeangalia ile mechi my point Kwa Mourinho Young sio winga tena ni fullback(RB/LB) huwezi kumlaumu kutoshambulia while alipangwa mahsusi kwa ajili ya ku-defend.Kocha angetaka kuchezesha winga wa kushambulia alikuwa na option ya Lingard,Mata na Rashford lakini hakuwaanzisha .mkuu uliangalia mechi? young hakucheza kushoto upande wa darmian alicheza kulia upande wa valencia. kushoto kulikua na martial na darmian.
na issue hapa sio kukaba na kutokaba issue ni kupeleka mashambulizia hasa design ya cross. unapokuwa na mtu kama lukaku unahitaji winger mpiga cross, kwetu kidogo young anaweza ila huwezi sema timu kama man u unamtegemea young kwa cross.
Man u tuna wachezaji warefu sana, kuanzia beki zetu, midfield zetu za matic, pogba na fellaini, striker zetu za lukaku na ibra anaekuja, ila urefu wote huu unakuwa hauna maaana kwenye ufungaji kama huna wapiga majaro.
mkuu mchezaji akicheza pembeni automatic haimaanishi ni natural wingers, mfano kulia kunaNimeangalia ile mechi my point Kwa Mourinho Young sio winga tena ni fullback(RB/LB) huwezi kumlaumu kutoshambulia while alipangwa mahsusi kwa ajili ya ku-defend.Kocha angetaka kuchezesha winga wa kushambulia alikuwa na option ya Lingard,Mata na Rashford lakini hakuwaanzisha .
Sidhani kama ni sahihi kumnunua Perisic(28) kwa £48m +£5m add ons na kuwapoteza Martial na Rashford
Jose amempa mkataba Zlatan so kwa sasa Rashford na Martial wataendelea kucheza kama winga
mkuu mchezaji akicheza pembeni automatic haimaanishi ni natural wingers, mfano kulia kuna
-RWF -winga mshambuliaji wa kulia
-RW- winga wa kulia
-RM- kiungo wa kulia
-AMC- kiungo mshambuliaji wa kulia
wote rashford na Martial ni washambuliaji, wakicheza pembeni wataendelea kuwa washambuliaji au winga mshambuliaji, angalia wakipata mpira wanataka kuingia ndani.
mfano mzuri ni huyo martial mechi na liverpool mara ngapi amepata mpira na kuingia ndani? karibia mara zote, mentality yake tayari ipo hivyo na hiyo ndio natural position yake.
ukiambiwa winger au natural winger ni yule ambae akipata mpira anachofikiria ni kukimbia pembeni karibu na kibendera na kutia cross, si rashford si martial wanaoweza cheza hivi,
Hapo ndio perisic, forsberg, bernardeschi wanapoingia, kati ya hao tulitaka mmoja ila matokeo yake hajakuja haja mmoja, hao ni natural wingers, wanakupa width na kuwafungua mabeki waje pembeni, unapokuwa na wingers wazuri lazima watu wawili wamkabe hivyo tegemea beki wa pembeni na angalau namba 6 wachomoke kati waende pembeni, hapa unatengeneza mambo mawili
1. apige cross watu wagombanie vichwa
2. wachezaji wa kati wapate nafasi zaidi ya kushambulia.
na hapo ndio mtu kama mkhitariyan anapoona nafasi na kuuwa watu.
man u hawana uwezo wa kupambana na timu kubwa