Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Second half SAF ingiza Chicharito apige hattrick
 
pigaaoooooooooo! peasant wahi kupeleka maturubau LONDON....ILE PEN TUNGEPEWA SISI basi awa wahum wangeongea ad kesho...
 
Duh Arsenal nawaonea huruma wakija kuchoka game hii ndio watazidi kupigwa zengine labda wajitulize... masikini WACHA1 leo atapotea anasema Arsenal wadogo leo kawekewa wadogo zaidi sijui atakuja na kisingizio gani sasa wenger.
 
M nimechoka esabu bana...Peasant kuja apa saidia hesabu ii massacre.
 
pigaaoooooooooo! peasant wahi kupeleka maturubau LONDON....ILE PEN TUNGEPEWA SISI basi awa wahum wangeongea ad kesho...



wanabebwa sana leo lakini hawabebeki. Arshavin na Jenkinson walitakiwa kuwa nje mpaka sasa....penalty ilikuwa bonge la dive!
 
Man utd hawana kipa,ni pazia 2 lipo golini <br />
<br />
 
Cleverley should have done better... Naona tushaanza kusinzia kwenye hii mechi.
 
WTF Nani.....jamaa wanacheza kama tuko training. Kudos kwa kipa wa Arsenal amewatoa sana.
 
Cleverley should have done better... Naona tushaanza kusinzia kwenye hii mechi.

Huwa tunaridhika mapema! Ni hatari sana
jamaa wakiweza kutumia vizuri nafasi wanazopata, itakula kwetu!
 
Wojciech Szczesny is the man of the match so far, and it's 5-1
 
Rooney is just firing from everywhere.. that would have been a wonderful goal.
6-1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…