Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uzi wenu Unaenda kwa sababu Rutashubanyuma anapost mapicha kila siku. Mpaka sasa kashapost mapicha kama 30 hivi. Sasa kwa nini uzi usiende?
Mkuu we acha tu tumeongelea sana kuhusu ilo swala jamaa haelewi hadi tumeamua tu kukaa kimya.
 

Sababu Ya Kumpeleka Valencia Full Back Left ni Kuona Kuwa Mo Salah anatokea Upande Wa Kulia Kwahiyo Alimpeleka Akamzuie Kwasababu Salah Ana Kasi Sana...

Kuhusu Herrera Mourinho Alikariri Last Season Alipomzuia Harzad! Leo Alimuingiza Kwa Ajili ya Coutinho..
 
Umeangalia mechi gani??

Darmian alicheza left back

Valencia alicheza right back

Young alicheza right wing

Martial alicheza left wing
 
Still to early to push the panic button! Let's wait for December when teams play in UCL, FA, LC and EPL games back and forth.


Mkuu hiyo ni Kwa Kila Timu! Hakuna Timu itakayorelax na Kula Bata isubiri wengine Waplay CL, FA, LC na EPL... Kwahiyo Timu Kubwa Zote Zitazongwa Na Machofu na Majeruhi...
 

Herrera hakupewa majukumu ya coutinho aliachiwa sana angeamua kuhangaika nae usingemuona
 
Kuna vitu watu wakihoji hua wanaonekana kufatilia maisha ya mtu. Mfano wote watakaohoji mbinu za Josee katika mechi kubwa..
Mou kawa mwoga sana kwa wenzie,,

Kando na ushabiki wenzetu wapo vizuri sana,, wachezaji wana ubora wa hali ya juu na timu pia ina muunganiko

Naweka akiba ya Maneno ila kama May ubingwa wa EPL utaingia katka kabati za OT bahati itakuwa upande wetu..

Yote na yote GGMU.. Still We Have A Dream ila isije kuwa Nightmare...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…