Huyo nae kocha wetu timu kama liverpool na pesa alizotumia ukiangalia kikos cha liver na thamani na mpira wanaocheza nahisi hatutendei haki muoga mno van gaal alikuwa anajipigia liverpool anavyotaka na wakina depay blind nje ndan darmian hik nini? Mtu hawez hata kupiga pas ni kubutua tu hatuna namna
Herrera,mata,mkhitaryan na matic hapo palikwa tayar pashakaa sawa darmian namba 2 anacheza 3 anafaham martiala akianza kiwango chake hakielewek unamweka bench rashfordd loooooo
Mkuu umenena kitu kizuri sana yan nimeshangaa sana kang'ang'ania mipira ya juu dakika zote wakati anajua plan imegoma darmian poor smalling angetufungisha anachanganyikiwa nahis anavutq bangi yule