Hata kama ni kutafuta likes kwa lazima sio kihivyo awe anaweka tu picha za muhimu tu na sio kila picha zinazokuja mbele yake na kama hazina umuhimu afadhali tu aache kupost.
Je unawezekana uchovu wa mrundikano wa mechi za September pamoja na baadhi ya wachezaji kuwa kwenye timu za taifa leo kuiathiri Manutd kwa maana ya stamina?