Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

This is the best perfomance i've seen so far in EPL, Man City are fabulous-Jim Beagley

Nakubaliana nae.
Ubora wa haya majamaa ni kwamba wakipata nafasi lazima watupie goli.. Hawapotezi nafasi hata kidogo.

Pia wanacheza kwa kasi, hata kama unataka kulinda goli utajichanganya tu!
 
Pep ni Fundi wa Mpira wakuu hilo lipo wazi.. Pia amewahi kukiri kua bahati pia imekua ikimtembelea sana,,, but tuwe na imani maana Josee nae kwa mbinu hasa game moja moja ni hatari... Ila kwa uhalisia wa consistency ya mchezaji mmoja mmoja city wapo vizuri kulko tim yeyote kwa mtazamo wangu.. Mwisho kabsa mfumo na chemistry inawabeba zaidi..
 
Guys..Man City wako vizuri.

Wapo vizur mkuu ila sema conte alichokosea kuingia na mbinu ya kuzuia kamuacha hazard hana msaada pia kukosekana kwa mshumbuliaji halisi kumewapa nguvu city baada ya kuumia morata mabek wakawa free sikuona sababu ya kumtoa hazard alishamuweka kwenye matatizo fernandinho angeendelea kumpa presha ale umeme alishamlambisha yelow card.
 
Screenshot_2017-09-30-21-41-36.png
 
Back
Top Bottom