Kuhusu Phil Jones nafikiri Mourinho ana Medical Team nzuri. Mara nyingine mchezaji anaoneka kuumia mara kwa mara ni kwa sababu ya poor management ya injuries.Pana mambo nayafurahia sana Phil Jones kama sio yeye vile katulia anafanya hesabu zake vizuri. Lukaku pana nafasi huwa anakosa mpaka unashangaa pale vipi? ajinoe zaidi katika hilo pana siku tutapata nafasi moja tu. Herera fundi zile pasi mpenyezo alipoingia zimeonekana ana umuhimu mkubwa kwetu khasa kipindi hiki Pogba hayupo. Kiujumla vijana wanatupa furaha.
Kuna mshabiki mwenzetu wa Man Utd kaniuliza matokeo nimemjibu KAMA KAWAIDA! Hajaniuliza kama kawaida ndio nini....4-0!
wanajua tusiwe tunamaliziaFundi haswaaa....Tukubaliane huyu Herrera ni fundi!
I m keep real, man u 4g...............
Natamani Mou afanye awezalo Herrera awe anaanza.Pana mambo nayafurahia sana Phil Jones kama sio yeye vile katulia anafanya hesabu zake vizuri. Lukaku pana nafasi huwa anakosa mpaka unashangaa pale vipi? ajinoe zaidi katika hilo pana siku tutapata nafasi moja tu. Herera fundi zile pasi mpenyezo alipoingia zimeonekana ana umuhimu mkubwa kwetu khasa kipindi hiki Pogba hayupo. Kiujumla vijana wanatupa furaha.
Natamani Mou afanye awezalo Herrera awe anaanza.
Jana na Leo mkuu.Nimewamiss dada zangu cute, everlin na sister...i hope mu wazima nyie....piteni mtoe hata kasalamu kwa mbali
HahahahahaTatizo Lukaku mzito sanaaaa...
Haya maneno hatuyasikii tena siku hizi![]()
Jana na Leo mkuu.
Yaani Man U tunaboa kila siku tuu lukaku lazima atupiamo.
Fanya kunipa ile table mkuu nione tupo wapi
Fitina fitinaniSasa tuwaombee majirani zetu njaa tu, hakuna namana kwa kweli.....