Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Tunachotaka leo ni gharika ya magoli yaani tano plus!
MATA anaonekana amelose confidence labda leo atafunga goli muhimuHakuna cha ujuaji wala nini ...makocha wote duniani hawapo perfect 100%....ndio sababu hawachukui ubingwa kila msimu.
Kiukweli pamoja na mazuri yake yote,mourinho anazingua kwa Martial...
Mata sio yule tena,hatakiwi kuanza mbele ya Martial au Rashford.
Toka ligi ianze sijaona jipya lolote kutoka kwake,zaidi ya kutucheleweshea ushindi tu.
We JAMAAAAAAMATA anaonekana amelose confidence labda leo atafunga goli muhimu
Mkuu wewe ni SangomaMATA anaonekana amelose confidence labda leo atafunga goli muhimu




Na kawaziba mdomo mapema kabisaMATA anaonekana amelose confidence labda leo atafunga goli muhimu
Hahaa najifunza kuexpose hisia ya ndani sana hahaaaaMkuu wewe ni Sangoma![]()
Ameshafunga moja tayari.MATA anaonekana amelose confidence labda leo atafunga goli muhimu
Something is not right here.