Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2017-09-30-21-59-54.png
 
mazee leo najua mliomba tushinde ili muongoze lakini hatukufanikiwa. Tunashukuru sana kwa maombi yenu..

Mkuu hapana mm sikutaka mshinde nilihitaj mtoe droo tu mana mngeshinda mngetupa shida sana siku hizi na nyie mnaongea sana sasa kazi tuliyobakiza ni kuwapa faraja tu poleni sana pia mlikutana timu kubwa nae yupo ktk mbio za ubingwa jipangeni kwa crystal palace gemu ijayo.
 
Wakuu hivi mliona Lukaku alivyokosa goli la wazi pale!! Nawasiwasi nae tutakapokutana na timu kali km ataweza kupeeform vizuri unless ajirekebishe aisee.
 
Mkuu hapana mm sikutaka mshinde nilihitaj mtoe droo tu mana mngeshinda mngetupa shida sana siku hizi na nyie mnaongea sana sasa kazi tuliyobakiza ni kuwapa faraja tu poleni sana pia mlikutana timu kubwa nae yupo ktk mbio za ubingwa jipangeni kwa crystal palace gemu ijayo.
Kusema tu ukweli man city wanakipiga sana ..kwa kasi ya leo itabidi timu zijipange vya kutosha. Enewei asante sana mkuu ..leo nmepigwa za uso
 
Updates on Fellaini 30/09/2017
Fellaini Stats this Season
Substution Against Westham Man Utd won 4-0
Substution Against Swansea Man Utd won 4-0
Substution Against Leceister Man Utd won 2-0
Not Played Against Stoke Man Utd Draw 2-2 (Concede 2 Goal)
Substution Against Basel Man Utd won 3-0
Started Against Everton Man Utd won 4-0
Not Played Against Burton Man Utd won 4-1 (Concede 1 Goal)
Started Against Southampton Man Utd Won 1-0
Not Started Against CSKA Moscow Utd Won 4-1 (Concede 1 Goal)
Started Against Crystal Palace Man Utd Won 4-0 (ofcourse he scored two goals
M Kuu bonny,
Kuna uwezekano mkubwa sana Fellaini ana akaunt JF, na anafatilia huu uzi, ndo maana anajitahidi sana asikuangushe
 
Ukiona man city anaifunga hadi Chelsea ujue msimu huu yuko siriyaz si kitoto ...maana sio kwa mpira ulee walocheza. Utafikiri tulikuwa etihad banaa

Mkuu hata kama uliicheki gemu ya arsenal pale pale kwenu nao walijitahid sana ni muda kocha wenu conte wa kuangalia mbinu zake upya arsenal walifika golini mara nyingi sana tofaut na nyie.
 
Hamna mkuu sema leo kocha wenu alizembea kwenye mbinu tu hao walihangaika kwa everton kumbuka tena hata kwa bournemouth mi nalia na sub zake tu
Mfumo wa leo haukuwa wa ushindi kabisa ..ni ku defence tu ..kocha amezingua kimtindoo
 
kwa jinsi man city wapo moto inabidi united na sisi tuwe sharp aisee yaani twende nao sawa hivihivi mpaka kieleweke..

Matic,pogba na herrera mtibuaji hawa wataifanya hiyo kazi vizur sana nna watu wa 4 wa mbio martial,rashford,mkhitaryan na lingard hapo lukaku anawazuia mabek kazaa wasipande mbele we acha kiungo mtibuaji mwingine fellain naiman kubwa na mourinho.
 
Back
Top Bottom