Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Sawa mpiga ramliLeo kwa C palace mnakalishwa ..aezwi fungwa mfululizo.
Sawa mpiga ramliLeo kwa C palace mnakalishwa ..aezwi fungwa mfululizo.
Wakuu habarini za mchana..nimepata braking news kwamba LUKAKU "ameumia kidogo" wkt wa training kabla ya game so kuna-dought km atacheza lkn inategemea na majibu vipimo atakavyofanyiwa kama vitamruhusu kucheza ama la.
If that so..4G Itapungua aisee..naomba jamaa awepo ili azidi kukimbiza magoli epl..
Ggmu!! GGMU!!
Sare ndio itakuwa ushindi wetu[HASHTAG]#WeAreTheBest[/HASHTAG] leo natamani wale wakutanao darajani watoke sare...