Tatizo hamna playmaker!Kukosekana kwa pogba au herreira kumepunguza creativityLeo kuna tatizo pale nyuma ya Lukaku, Lukaku akiwa kwenye position nzuri hapewi mpira. Tunaweza kuvuka NNE (4G) yetu, kama Makosa hayo yatarekebishwa.
That what champions do...Yani leo timu inacheza kawaida sana ila inapata matokeo
Ndio dalili ya timu ya ubingwa. Mwaka jana OT tulikuwa tunacheza vizuri tunaambulia droo.Yani leo timu inacheza kawaida sana ila inapata matokeo
Kweli kabisa, kwakuwa Pogba ni majeruhi ilikuwa Herrera awe ndani.Tatizo hamna playmaker!Kukosekana kwa pogba au herreira kumepunguza creativity
Ni kweli mkuu, siku hazifananiMikh leo naona hayuko vizuri