Watupe hata tatu, jana Madrid kadaka mpira kabisaaaa Ramos what the hell!Penati gani hii tumepewa
mkuu mnara unasoma 2G net subiri tuupandishe vizuri utusomee 4GVipi ile timu ya 4 4 inacheza saa ngapi?![]()
Goal machine mkuu!lukaku mechi 9 goal 9
Goli tatu ulizotabiri zimeshafika, nasubiri kuona kama nao watafunga moja ulilotabiri kabla ya mechi.