Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Kipindi cha kwanza bora tokea msimu uanze. Tumewashika kila idara, ni kitendo cha kuwafunga goli 5+
Mkuu, huyo mtu ni fundi!Wadau kwa mnaoangalia game,tupatieni uchambuzi kuhusu effect ya ander "magician' Herrera kuhusu performance ya leo. Negatively or positively pls
Tayari Imeongezwa moja.safi sana, zikiongezwa zingine 3 itakuwa bora zaidi.
nimeona ndugu.Tayari Imeongezwa moja.
Mkuuuu umetisha, inasomaje sahivi........mkuu mnara unasoma 2G net subiri tuupandishe vizuri utusomee 4G
4GMkuuuu umetisha, inasomaje sahivi........
Natamani tusiishie kwenye 4G, dunia ya sasa inaenda kasi sana, tufike hata kwenye 8G
He is simply amazingRomelu Lukaku at Manchester United:![]()
Games 9
Goals 10
![]()