Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Kapiga ekotiteLukaku hizi dharau sasa, unapiga selfie uwanjani?
Mkeka leo naona umetiwa chumvi. Mwelekeo ni tano kwa mojaGoli tatu ulizotabiri zimeshafika, nasubiri kuona kama nao watafunga moja ulilotabiri kabla ya mechi.
NaonaNi kwamba 3-4-3 imekubali au?
Wadau kwa mnaoangalia game,tupatieni uchambuzi kuhusu effect ya ander "magician' Herrera kuhusu performance ya leo. Negatively or positively plsNi kwamba 3-4-3 imekubali au?
Nionavyo Kupumzika mechi za EPL kumemstawisha ana kiu ya kulinda nambaWadau kwa mnaoangalia game,tupatieni uchambuzi kuhusu effect ya ander "magician' Herrera kuhusu performance ya leo. Negatively or positively pls
Na brother K utamuachia nani?Hv kesho n Thursday
Nkajipange ozil ndan
...


