Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

FB_IMG_1506483626006.jpg
 
Bonge la mechi wenzetu wakiterm big match .....ugumu wa mechi unaanzia kwenye mawazo ya mzee wetu Carlo A kabla ya bench la ufundi la Bayern Munich kama wamekumbuka mbinu za mzee Jose akiwa na mipango yake kichwani kuchukua point muhimu , tuachane na Jose M ila urahisi wa hii mechi uwezo wa kukumbuka kuwa Bayern inakosa kitu muhimu hasa viungo wake ....ila ngoja nikufikirishe kuchaniwa mkeka ...kazi ipoo haswa ,
Toliso, Rudy, Vidal, Rodriguez, Alcantara wote wakiwa na uwezo wa kucheza nyuma ya Lewandowisk ni bahati kubwa sana waliyonayo Bayern Munich.... Achana na wa kongwe Riber na Roben kwenye mashavu ya timu. Roberto Lewandowisk ni zaidi ya dhahabu kwenye kikosi cha Bavarian..... Thiago silva na Maquinho kazi kwenu hapo kuchua credits.....

Hapa sasa :Rabiot, Mota, Veratte, Pastore, Di Maria na Draxler wote wakiwa wanacheza nyuma au pembeni mwa Neymar, Cavan na Mbappe... Achana na Yule Lucas Moura naona maisha yeye keshayazoea ya kukaa bench na kuitizama miguu yake. Uwepo wa Neymar katika jezi ya PSG kuna umakini unaongezeka kwa wapinzani... Na kama watatumia tension hiyo inaweza kutengeneza hasara kwa wapinzani haswa kutokana na aina ya uchezaji wa Neymar na ulinzi wa waamuzi.

Hii ndio mechi ya kwanza ya hesabu za Nasser Al Khelaife na watunza fedha wake......

Ila matokeo dakika 90 japo nimeyaota siri yangu
 
Back
Top Bottom