Tukikaza mbona 4g ipo palepale..Leo tuna match ngumu pia..ila i hope tutawapiga hawa madogo..(sijasema 4G lkn)
Dooh huyu muingereza anapata tabu sana na maurino ngoja tusubiri tuone labda kuna kitu tutakiona mbeleni.
Kwa upande wangu naona mechi ya burton albion alicheza poa tu labda kama maurino anataka amtengeneze awe na roho ya utukutu
Nadhani itakuwa rahisi kwao kumuacha Cavan kuliko Neymar sababu ya umri na dau. Hapo pia yaweza kuwa faida kwetu endapo tutamnasa Cavani. Maana Lukaku akipata msindani wa maana lazima akomae haswa,Lakini huu mzozo wa cavani na Neymar unaweza kuinufaisha MUFC.. Kama bodi ikigoma kumuuza cavani Neymar atataka kuondoka
Mkuu haters watakuuaBao la ushindi
Linaongeza nguvu za kiume,
Linaondoa mapunye,
linamuita alie mbali,
linaondoa mkosi,
linaongeza bahati,
linarudisha wapenzi walioachana,
Lina-balance homoni,
Lina-solve equation,
Linaondoa harara,
Linaongeza vitamin,
Linakulipia riba kwenye vikoba/saccos
Linaondoa stress,
Linapunguza mafuta mwilini,
Lina kurushia kifurushi kama simu yako inadaiwa,
Linaondoa fujo mitandaoni(kutoka kwa wapinzani)
Pia linaondoa kilomolomo mitaani
GGMU

Kwani viroba bado vipo mtaani?Hawajakosea. Ndio tutawapiga hizo hizo. Mtulie kama mlivyo
Lukaku ana rashford mkuu pia zlatan anarud juzi dogo kasimama pale mbele kapiga shoot 4 goli 2 sio mchezo mara zote akiaminiwa pale huwa mabek wanatabu sana kukakaba.Nadhani itakuwa rahisi kwao kumuacha Cavan kuliko Neymar sababu ya umri na dau. Hapo pia yaweza kuwa faida kwetu endapo tutamnasa Cavani. Maana Lukaku akipata msindani wa maana lazima akomae haswa,
Na Rashford ni shida sana akiwa pale katiLukaku ana rashford mkuu pia zlatan anarud juzi dogo kasimama pale mbele kapiga shoot 4 goli 2 sio mchezo mara zote akiaminiwa pale huwa mabek wanatabu sana kukakaba.
Yes nimewaza hii combination piaKesho 4g itaendelea nini wakuu??..Natamani siku mourinho awaanzishe martial na rashford kwenye gemu ya ligi,rashford acheze kama second straiker nyuma ya lukaku,..i hope watafanya vizuri sana.
Cavani wa nini!! Acheni hizo wakuu cavani hatakiwi OT..Mimi simtaki OT aisee..tuna forwards wa kutosha na we want a new blood
Ni kweli kbs mkuu..Labda kama wanataka tumpoteze rashford walete hilo lijamaa ni muda mrefu tumehangaika kumpata nutural center foward kapatikana tena mwenye damu ya red devils tukaanze kuhangaika na ma cavan haipo sawa mourinho anachotaka kwa sasa ni msambuliaji wa pembeni na mtu wa kucheza na matic pogba awe free zaid na hayo ndo mapengo nnayoyaona.