Kwa nn hamtaki kuambiwa ukweli.? Subirieni NovAnamaanisha comment kama mtu ambaye katikati ya mwili wake kumeshajenga udugu na kampuni ya topaz.
Usingizi nao ukizidi
Kwa mm ninavyoona bora acheze hvyo hvyo pembeni...coz tunapata faida nyingi sana...rashford ana pes ya hatari kama ilivyo kwa martial hvyo huwachosha mabeki na kukimbilia kucheza foul..nafikiri ndio sababu inayowafanya hawa jamaa yoyote atakaeingia sub lazima afunge....Sina uhakika kama 4G itaendelea lakini uhakika wa ushindi upo kwa sababu Soton watakua na tamaa ya kutushambulia sana hivyo itafanya mechi iwe ya mashambulizi kotekote tofauti na mechi ya Stoke City.Kuhusu Rashford kucheza second striker nafikiri Mourinho alifanya kwenye pre-season na walicheza vizuri tu.
NB:Sipendi kabisa Rashford akicheza pembeni....ni mzuri akicheza kati kama striker.
Sioni kama wana ugumu kama stokeLeo tuna match ngumu pia..ila i hope tutawapiga hawa madogo..(sijasema 4G lkn)
Ni kweli mkuu..ila walo kwao na walitusumbuaga kchiz msimu uliopitaSioni kama wana ugumu kama stoke
Msimu huu ni tofauti kidogo makali yetu yameongezeka pale mbeleNi kweli mkuu..ila walo kwao na walitusumbuaga kchiz msimu uliopita
Tofautisha kati ya ukweli na utabili wengi walitabili burnley na arsenal wanafungwa pale kilichotokea wakina iwobi wakawa wanacheza kama wapo emirates vileKwa nn hamtaki kuambiwa ukweli.? Subirieni Nov