MsA11
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 303
- 582
Ni kweli mkuu, Liver sio wazuri sana tunapokutana nao. Hukomaa sanaOctober only Liverpool to worry about, they should win all other games.
Ni kweli mkuu, Liver sio wazuri sana tunapokutana nao. Hukomaa sanaOctober only Liverpool to worry about, they should win all other games.
Kazi ya kufunga magoli sio ya mshambuliaji peke yake last season timu nzima ilikuwa inakosa magoli (Mata,Pogba,Rashford,Martial,Zlatan,Lingard).Msimu uliopita Manchester United walikosa big chances 50 za kufunga magoli,katika hizo chances Zlatan alikosa 18 so other players walikosa hizo 32 chancesHuyo zlatani wako nilishawahi kumkataa humu,tens nilisema anaifanya timu ikose Makali na kasi. Mshambuliaji bora ni yule atumiae vema nafasi za kufunga. Haiwezekani ukawa na mshambuliaji anayekosa nafasi ya wazi moja ktk kila mechi halafu uone ni sasa tu
Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
Aaaah kumbe ni ivyo.?Na zile mbili unazisahau vl
Life is not rehersal it is a perfomance. The same applies to football.Sky sports statoo wanasema goli la kwanza la chelsea kwenye uefa lilifungwa mwaka 1999![]()
mwaka ambao utd ilichukua treble.
Huwa tunajitukana wenyewe kujibizana habari za mpira na hawa vifaranga.
![]()
Hahahaaaa...Hawa sky sports statoo wazushi sana, mimi najua Chelsea ilianzishwa mwaka 2004 sasa hayo magoli ya 1999 huko wameyatolea wapi.?![]()
![]()
![]()
![]()
FAKE NEWS
Kwahiyo jogoo ni mbuzi?Life is not rehersal it is a perfomance. The same applies to football.
Hongera kuku. Tambua kuna Jogoo
Umesema ndio maana anafunga timu ndogo, nikakuuliza lile goli alilowafunga madrid ilikuaje? Au nayo ni timu ndogo?Uliiona nafasi aliyokosa kwenye hiyo mechi?
Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
Waulize kuku wenzioKwahiyo jogoo ni mbuzi?
SawaWw una akili kuzid yeye acha kimdomo domo
Waulize kuku wenzio
Hebu tafuta best strikers in the world right now, angalia conversion rate zao ndio utajua kukosa nafasi moja sio issue.Uliiona nafasi aliyokosa kwenye hiyo mechi?
Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
Hii kitu nimeisikia nikacheka sana inasemekana jamaa analikula demu mmoja ni fan wa man united na huyo demu akawaambia wenzake kwamba jamaa mguu wake wa tatu ni balaa kuliko hiyo miwili anayofungia nayo na kutoa assist![]()
![]()
![]()
![]()
![]()


Daah huyu dogo wasije kumuachia bora hata atafutiwe timu apelekwe kwa mkopo
Kideli au mdondo umewakuta majogoo ugonjwa huoLeicester kashamaliza kuchinja jogoo lake huko. Kesho ni man united vs Burton mida ya saa 4 usiku pale OT kombe la Carabao.
Chelsea na Arsenal nao vile watakuwa viwanjani kesho
Waulize kuku wenzio
liverpool kawa kama njombe mjii..kila siku kukalia tu goli za kutosha..Leicester kashamaliza kuchinja jogoo lake huko. Kesho ni man united vs Burton mida ya saa 4 usiku pale OT kombe la Carabao.
Chelsea na Arsenal nao vile watakuwa viwanjani kesho