Safi vijana wale bsta kdgo
Safi vijana wale bsta kdgo
Naona wadau wamechunaMobodroo wanaonyesha chanel gani wana GGMU? Maana hapa nilipo mabanda umiza yote hawaonyeshi michezo ya leo.
AsanteLive unaweza tazama kupitia link hii @Genti Life - YouTube
Kumbe nawe imekutokea.Link naona zinazidi kuchomolewa hazifanyi kazi
Yap link kama nne saiv zote hazifanyi kaziKumbe nawe imekutokea.