radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Ahaha jibu swali sio unazunguka kama tiara.
Jibu alitoe wapi mkuu msamehe tu kijana wetu
Ahaha jibu swali sio unazunguka kama tiara.
Kabisaa mkuu maana kuna vijana wa conte muda siyo mrefu wanakuja kukalia nafasi yao. yule Morata wao ananinyima usingizi sana siku akianza kufunga na miguu nahisi atakuwa anaondoka na goli tatu tatu, Man u tulikosa jembe lile

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 586078
Hhhhhhh
.
BREAKING NEWS : FIFA Has opened a case upon Manchester United player Antony Martial on his act of play on Stoke City player Mame Diouf. FIFA suggests that Martial's play was an act of indiscipline towards his elders. If found guilty Martial is likely to face a 3 match ban. Similarly Martial escaped allegations on Real Madrid player Dani Carvajal as he was also a victim of Martial indecency towards other player.
Haya kakojoe ukalaleTimu ya mashabiki wasiojua mpira na wasiojielewa ni nyie
Maneno ya kike hayaHaya kakojoe ukalale
Lukaku pumzi yake itakata mda sio mrefu...Lukaku ana goli nne top scorer sijui angekuwa hana hata goli sijui ungeandikaje mwende nigeria kwa waganga aanze kufunga kwa miguu mapema asije kuzinduka mwakan mwez wa 5
Mashabiki wapenda ugomvi na kuongea lugha chafu kipindi cha mechi. ..ndo hawa. Kweny mabanda ya mpira utakuta wao ndo wanakelele..Timu ya mashabiki wasiojua mpira na wasiojielewa ni nyie