South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,513
- 5,144
Jukwaa lao limepoozamaasidi mbona wengi sana kwenye jukwaa letu..si mchangie kwenye majukwaa yenu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jukwaa lao limepoozamaasidi mbona wengi sana kwenye jukwaa letu..si mchangie kwenye majukwaa yenu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenichekesha sana ila ndiyo ukweli huo.Kuna mechi nyingi, striker mmoja na watoto wawilk hswatoshi.
Makombe yapo ya aina nyingi....hata mganga wa kienyeji anaweza kukupa kombe.March napewa kombe langu
May nacheza final ya CL
Alistahili kuanza kuuzwa Wenger, kwanza.Gary Neville adai timu nzima ya Arsenal ni ya kuuzwa kwa sababu haichezi kwa viwango vinavyokubalika
March napewa kombe langu
May nacheza final ya CL
Daah nilikua sijamwona vizuri huyu dogo!! anaitwa Dembele!!
Ivi Mou alipokua anakomaa na yule perisic na akina bale alikua anawaza nini?? yaan dogo anakimbiza, ana attack ana assist alafu mou akaenda komaa na wazee na kumuacha dogo achukuliwe na barca daaaah!!!
Nadhani ungempata huyu hakyanani ulaya ingetukoma!!!
Dogo ana miaka 20 tu!!