Jerry Rebiam
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 402
- 360
Daah nilikua sijamwona vizuri huyu dogo!! anaitwa Dembele!!
Ivi Mou alipokua anakomaa na yule perisic na akina bale alikua anawaza nini?? yaan dogo anakimbiza, ana attack ana assist alafu mou akaenda komaa na wazee na kumuacha dogo achukuliwe na barca daaaah!!!
Nadhani ungempata huyu hakyanani ulaya ingetukoma!!!
Dogo ana miaka 20 tu!!
![]()
Jamaa anawasnitch tu wenzie
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Ni mchezaji mzuri lakini anajiona sana, mchezaji gani timu yake inabugizwa magoli yeye anacheka😀😀😀
Wakuu final touch is.........
Riyard Maherez
Mou anataka kutushangaza tenaWakuu final touch is.........
Riyard Maherez
Mou anataka kutushangaza tena
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Nimeshangaa sana maana anatema mbovu tuAccount ya huyu dogo itakuwa feki hawez kupost hayo mambo atafukuzwa au kukatwa mshahara.
Hahaha nakumbka kwel after mechi waliongea kama dakika flan hv pale uwanjani hahaha....Kuna picha inatembea pogba agent p baada ya kuisha mech alikuwa akiongea na mahrez