D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Tabia ya kumpa mtu apige tuta ili kuongeza magoli sio nzuri..UNITED VS LEICESTER..Nilichokiona:-
1.Ilikuwa ni mechi NGUMU sana(yet)...jamaa walikamia na kuna kipindi walionesha walikuwa wanataka point moja tu warudi nayo kwao.
2.Kama nilivyosema last week..LUKAKU Anapaswa kuImprove/KujiUpgrade yani bado kuna vitu anavikosa aisee na ukizingatia UEFA CHAMPIONS LEAGUE inakuja..anahitaji UMAKINI,NGUVU na AKILI..Binafsi naona NGUVU ipo ya kutosha ila hivi vingine bado havijagikia kiwango kinachotakiwa..so akiImprove itakuwa poa sana..he's good.
3.Leicester walimfanyia man marking lukaku..yaan jamaa kama watatu walikuwa wanamkaba mtu mmojando maana alizidi kupotea uwanjani...ila hii ilikuwa ni fursa kwa players wengine kushine cuz km akili ya Leicester ilikuwa kwa MAIN STRIKER wetu,lkn haikuzaa "MATUNDA YA KUTOSHA"..narudia "matunda YA KUTOSHA"
4.Ni kweli kwamba PENALTY hainaga mwenyewe lkn LUKAKU alizingua kwny upigaji cuz ukiangalia slow-mo alimuonesha kipa kabisa napiga wapi! Na ukizingatia Schimichel ni kipa mzuri so haikuwa ngumu kuchomoa..
5.sina Imani na BLIND!!
6.Naamini tutarekebisha makosa madogomadogo na kuendeleza wimbi la ushindi..GGMU!!..GGMU!!
Ugiligili
Wamefanya kwelHakika mkuu.
Vijana hawajaniangusha kabisa
Yupo on fireeeeJamani phil jones anazidi kuwa na roho mbaya kwenye dimba ....
Uchambuzi mzuri, unajua wengi walikuwa wanalalamika kuanzia Rashford badala ya Martial. Sasa kila mmoja atabaki kimya suala la nani aanze litaachwa kwa Fundi Moumanchester united ndio timu pekee duniani ambayo wachezaji wake wanawania kuanzia benchi kwenye mechi.
- lord fellaini akianzia benchi akiingia anabadilisha movement nzima ya timu
- martial akitokea benchi anafunga magoli
- rashford akitokea benchi anafunga magoli
- lingard akitokea benchi ana assist magoli nina wasiwasi mechi ijayo martial na rashford watagoma kuanza kikosi cha kwanza kwa sababu kila mmoja atamtegea mwenzake hivyo basi jose mourinho anapaswa aende uwanjani na bakora kama mwalim wa madrassa.
Hata Lukaku ni mzuri,ila jana haikuwa siku yake...Tabia ya kumpa mtu apige tuta ili kuongeza magoli sio nzuri..
Pale mpigaji mzuri ni Mkhtaryan,Mata au Herrera
Inawezekana ni mzuri ila hao niliokutajia ndio mafundi wa hiyo kazi.. Sanasana HerreraHata Lukaku ni mzuri,ila jana haikuwa siku yake...
Mshabiki mwenzangu... I miss you!!hongereni mashabiki wenzangu kwa ushindi.
Nakubaliana nawe.Ila kumpatia Lukaku ambaye kwa sasa ndo kama "main striker" wetu, kiufundi,japo alikosa ila inamuongezea "confidence".Tena,ikibidi ikitokea nyingine apige LukakuInawezekana ni mzuri ila hao niliokutajia ndio mafundi wa hiyo kazi.. Sanasana Herrera
Mkuu nafurahi kukuona pande hizi...heshima yako mkuuLinesman alipatia offside ya Mata lakini kipa wa Leicester alitoka kabla ya penati kupigwa hivyo linesman hakuwa makini. Penati ilipaswa kurudiwa kupigwa
Nimeangalia hailaiti za OUSMANE BEMBELE, dogo anaonekana ni fundi sana, sijui kwa nini barcelona walikua wanang'ang'ania kwa coutinho, anastahili kununuliwa kwa ile hela kutokana na soko lilivo sasa, mou hakumuona yule dogo mpaka na yeye kung'ang'ana kwa perisic?
Sent using
Jamii Forums mobile app